Mmeshindwa kufukuza mafisadi kundini hasira mkahamishia kufukuza wanafunzi vyuo vikuu!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mmeshindwa kufukuza mafisadi kundini hasira mkahamishia kufukuza wanafunzi vyuo vikuu!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Welu, Jan 12, 2012.

 1. W

  Welu JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 815
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 60
  Hasira za nini kwa wanavyuo wetu ili hali mmeshindwa kufukuza mijizi na mafisadi. Hivi mijizi ya EPA inasamehewa, wengine wana makashfa kibao eg Geleja, uto, rowosa, chenga,jaiiro,rost-tamu nk. Mbio kwa wanafunzi ambao athari zao si kubwa kama za mijizi ya rachmond,metameta, wepa, do wazi nk. au kwa vile wao ni watoto wa maskini?
   
 2. m

  massai JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2012
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu
  umenena,umemaliza
  point
  yote,big
  up
  sana
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,495
  Trophy Points: 280
  sisi si ndio tuliwapigia kura? au walipigiwa na nani?
   
 4. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kama hao mafisadi wangefirisiwa na kufungwa, leo wanafunzi wasingegoma na kufukuzwa kwani hiyo pesa ingetosha kuwapatia mikopo. mwaka 2015 tuiondoe ccm
   
Loading...