Lituye
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 1,862
- 5,680
Mnasema hamtambui Mamlaka ya CHADEMA iliyowavua Uanachama wa CHADEMA. Halafu hapo hapo mnasema mnakata rufaa hahahaa yaani haa bwana misiba katika press huonekana ana nafuu pamoja na uchumia tumbo wake kuliko ninyi.
Mmesema ninyi bado wanachama na bado wabunge halali sasa mnakata rufaaa kupinga nini? Mnadhani sisi wote ni wajinga eeh?
Sir Alex Ferguson aliwahi kumrushia viatu David Bekham alipo anza kuleta mzaha ktk mazoezi ya timu yake akijifanya yeye ni mtu bora zaidi. Sir Alex alimwambia Bekham kuwa hakuna mtu aliye mkubwa kuliko Manchester united.
Msijidanganye covid19 mkadhani ninyi ndio CHADEMA. CHADEMA imejengwa katika imani mioyoni mwa watu. Mlipewa nafasi tuu kutoka miongoni mwa watu wengi sana ambao wanaipenda.