mathematics JF-Expert Member Feb 21, 2012 3,323 1,105 Jul 14, 2012 #2 muache auze tu kwa hii 3 aliyonayo,
B babacollins JF-Expert Member Dec 23, 2010 901 212 Jul 15, 2012 #3 Mbuzi Mzee said: Click to expand... Huyu bwana anajaza album tu namkumbusha tena samata yuku juu mpaka nje ya nchi yetu gonga nae walau moja kabla album halijajaa 2015
Mbuzi Mzee said: Click to expand... Huyu bwana anajaza album tu namkumbusha tena samata yuku juu mpaka nje ya nchi yetu gonga nae walau moja kabla album halijajaa 2015
King2 JF-Expert Member Nov 16, 2011 1,277 181 Jul 15, 2012 #4 Jk Mswahili kweli Kweli.! Mikao gani hiyo!
Gwangambo JF-Expert Member Jun 30, 2012 3,638 1,207 Jul 15, 2012 #5 Huyo mwenye rasta ni nani, wasanii wa bongo wako wengi nowadays.