Mmemuona ng`ombe wangu?

St. Paka Mweusi

JF-Expert Member
Sep 3, 2010
7,633
4,515
3105-Cow-Map.jpg

Na kwa mnyama huyu huwa sina shida ya kutafuta atlas ya kufundishia watoto wangu,I wish you all a good weekend.
 
ng'ombe mnene hivyo , wasukuma wakiwa nazo za hivi itakuwa huwezi kuwaongelesha
 
ng'ombe mnene hivyo , wasukuma wakiwa nazo za hivi itakuwa huwezi kuwaongelesha

Duh, sidhini kama aliyeweka alikuwa na interest na unene wa huyo ng'ombe. Ina maana wewe hujaona hiyo ramani ya dunia aliyonayo mwilini mwake huyo ng'ombe?
 
Duh, sidhini kama aliyeweka alikuwa na interest na unene wa huyo ng'ombe. Ina maana wewe hujaona hiyo ramani ya dunia aliyonayo mwilini mwake huyo ng'ombe?

duh asante muheshimiwa ......duuhh ndo nimeona
 
Kama kweli yupo jamaa wa guinness wangeshamtambua otherwise amechorwa
 
Ebwana shauri yako wakimuona wanasayansi wetu hasaaa wale wanaotumia UNGO TRANSPORT utacheka yani maana atapasuka kila mahali.:A S-cry::yield::yield: mimi sija sema maana hashindwi hata ku...........................:bowl:
 
hawa ng'ombe wapo na huku kwetu afirika au ni hukohuko udachini tu?
Ng'ombe matata jamani eee!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom