Tatizo liko wapi, kwani ww haujawahi fanya maamuzi ambayo baadae unakuja jilaumu.
Anaona mzigo ulioko mbele yake ni mzito
Baba watoto jaman toroka uje basiKuongoza watu ambao ni "much know" kwa kila kitu ni shida sana.
Ngoja nikuje kwanza PM tuyajenge mama watoto.Baba watoto jaman toroka uje basi
Utapokuwa nitakuwapo pembeni yako sababu umetoroka na kuja kwanguNgoja nikuje kwanza PM tuyajenge mama watoto.
hahahaaaa balaaJuzi tu kamsifia dau kwa kazi kubwa ya aliyoifanya kwenye daraja la nyerere leo amawaambia wanaelekeza pesa kwenye mambo ya ajabu ajabu ikiwepo madaraja badala ya viwanda........
Yeye amesema anaomba aombewe tu. Kila mara amekuwa analia hivyo. Sasa sijajua kama yeye hajui kuomba mpaka aombe kuombewaInabidi ashauriwe asikiri kushindwa. viongozi wadini msaidieni rais!
Ndugu Mgirik una hoja nzuri na mifano ya ku-support hoja yako. Ungeweza kabisa ku-jenga hoja hiyo bila kumtukana mtoa hoja wa awali. Kama msomi na muelewa unatakiwa ujue kuwa matusi hayajengi hoja bali yanaonesha kuwa uko "desperate" kulazimisha watu wakubaliane na wewe.Ww ni ngombe huna ulijualo zaid ya ushabiki kama inzi kwenye mzoga, jiulize kwann sokoine alikufa kifo cha utata na ilikuwa kwann, fuatilia vifo vya akina malcom x, John kennedy,..
Uongozi unakuja kuwa magumu pale unapompigania mnyonge na kumbana aliyenacho na ndio hapo hata uliyekuwa unamwona ndg yako au rafki yako anakuwa adui yako, lakn ukiwa na akili kama yako utasema hakujipanga ungemleta mamaako basi yeye si ndio akijipanga
Uko sahihi kabisa mkuu, hakujipangaKuna siku nilihoji tamko la Rais kuwa hakujiandaa kuwa Rais! Watu walinizomea sana! Sasa leo ametoa tena kauli ya kushangaza kuwa anajuta kuutaka Urais...!
Hivi hili halina uhusiano na kauli kuwa hakujiandaa kwa majukumu haya... Kwa maneno yake "alikuwa anabeep! :-
Mnataka hotuba za kuwafulahisha mtasubili sana kwa magu hakuna,labda nendeni msoga kule mtazipata zile za kula nawe uliwe!
Alichefua sana. Jitu lina Ph.D linaongea kama limetoka shimoni leo.