Mmekupachika jina 'kukurupuka' kutokana na hasira,Wivu na hofu yenu

Nwaigwe

JF-Expert Member
Jul 9, 2009
1,053
913
Nianze kwa kusema Magufuli an ati shiatsu uhai wa vyama vya sasa na kwamba kwa kuwa anatekeleza vizuri majukumu yake wana HOFU ya wao kukosa soko na kutouzika kwa wananchi ukiangalia vizuri mtu kama mnyika na mdee huwezi wasikia sana kwa kuwa wanajua hawana hoja.
2.Baadhi ya wanaompiga Magufuli na kusema na kusema anakurupuka' wana wivu wa hali ya juu.Hawakutegemea kwamba atapatikane mtu wa kutatua matatizo ya watu
3.Wenye hasira wengi hata humu Jf ni wale Waliotumbuliwa wao ama waliokuwa wanawaweka mjini. Wale wote waliokuwa wanatuibia, wanatunyonya hawalipi kodi ndiyo wanaosema raisi anakurupuka.Yaani wote wanaosema vibaya Magufuli ni wahanga wa mabadiliko anayoyafanya halafu wanajifanya eti dictator, mkurupukajikisa tu WAMESHIKWA PABAYA. Wanajaribu kukosoa kila kitu Mwingine jana kaja hapa na kusema eti Magufuli hasomi hotuba .anataka aandaliwe ile ya kisiasa ya kubembelezana. Yy mwenyewe alisema " mimi ni tofauti sana..." nafikiri hamkumwelewa siyo mrenda yule. Mambo ya kukaribishana chai muyasahau. ..Mathalani kuhamia dodoma eti imekuwa nongwa wanakuita kukurupuka?seriously hv ukubwani ndiyo tumejifunza makao makuu ya nchi ni wapi? Kwa hiyo kama ni gharama hamtaki kubreak an ice.It has to start somewhere. Mlivyoambiwa kipindi cha mkapa hata kama kula majani mtakula lakini ndege ya raisi itanunuliwa hamkuona ni kugharamikia upumbavu? Vip kuhusu radar ambayo ni mbovu? Dodoma kitu ambacho ni chema mnachonga midomo. Wengine oh eti nyerere mbona aliacha hujiulizi kwamba nyerere hakuwa na gesi,madini e.t.c

Kwa ujumla wote ambao humu Jf mnamsema vibaya magufuli m naangalia kwenye makundi ya wanafikiri, wachoyo wezi,wachonganishi,wavivu,wasio wazalendo wenye chuki wabinafsi kama mbowe,wala rushwa, wafuata mkumbo
Nyie nyote wasema vibaya mmefungiwa MADILI yenu hampigi tena dili mna hasira na kujaribu.kuchonganisha. Nashukuru Magufuli hawaogopiwala nini kwani anaamini anasimamia haki
 
Yaani umeongea vizuri na kweli kabisa!
 
kajipange kuandika vizuri wacha miemko au huna Elimu ya juu.

swissme
 
Japo mdogo wangu una temper na hawa wapuuzi, lakini umesema kweli tupu
 
kajipange kuandika vizuri wacha miemko au huna Elimu ya juu.

swissme
Hivi ukisoma nilichoandika utasema elimu yangu inalingana na yako? Kwa taarifa yako sijasoma kipindi chako hichi cha vyuo utitiri visivyo na credibility.
 
mzee mzima na buku saba wapi na wapi nenda katafute kazi wacha kuwa mzembe wa mawazo.

swissme
 
Magufuli anaweza na ana stamina atawanyoosha tu. Ukali wake ndio unaotakiwa wachache waliokuwa wanafaidika wanajitahidi kuweka sumu Ila tumemwelewa.
 
Siku akifika kwenu anataka kula nyama yako utajua nini maana ya udikteta uchwara
 
Back
Top Bottom