Mmejiuliza ni kwanini mpaka sasa hawajatoa full soft copy report ya uchunguzi wa mchanga wa dhahabu?

Go Go Magufuli,ikiwezekana kachukue kampuni yote ya madini.Ila hakuna kampuni au shirika watanzania tukaweza kuyaendesha kwa faida labda siasa tu .Kwani huko tunashinda kwa asilimoa nyingi sana
 
Mwandishi - Unakubali CCM ndio iliyo tifikisha hapa na ninyi ndio chanzo cha haya yote.
Pole pole - Vita dhidi ya wizi wa mchanga wa dhahabu haijawahi kukiacha chama salama.
 
Kaelewa aliyejibiwa kama utakavyoelewa majibu haya mtoto. Binti umevunja ungo usiwe na kihelehele.
d01dfa2b5f6d0c19e2ee0d1ee7138990.jpg
 
Kwani ripoti kaandikiwa nani
Is it a public document?
Jiongeze hili game ni kubwa sana

Aliyetaka kashapewa wewe unaulizia.
Una utaalamu gani kwenye madini.
Au ndo vile wakina kilambasi
Ilikujua watanzania ni watu wa ajabu comment kama hii kuna watu wamelike!! Ndiyo maana kukabidhi report tu tunafanya sherehe.
 
Kwani ripoti kaandikiwa nani
Is it a public document?
Jiongeze hili game ni kubwa sana

Aliyetaka kashapewa wewe unaulizia.
Una utaalamu gani kwenye madini.
Au ndo vile wakina kilambasi
Hii ni ripoti yako ya kwanza ya Tume ya uchunguzi ya rais? Kama jibu ni ndio, basi ni uwezo wako wa kufikiri umeishia hapo na nakusamehe. Kama jibu ni hapana, nakuuliza swali: je hakuna ripoti ya tume ya rais iliyowahi kuwekwa hadharani (soft copy) baada ya kukabidhiwa rais? je, wajua kuna ripoti za tume ya bunge? nazo baada ya kukabidhiwa spika wa bunge hazikuwekwa hadharani? ukitaka mifano nitakupa kwa leo, kafanye hii assignment/homework
 
Jiandaeni kuburuzwa mahakamani sasa
Kuburuzwa mahakamani ni haki yao lakini hawapati ushindi.
Msitishike,zamani serikali ilikuwa inashindwa kesi kwa kuwa wanasheria wetu walikuwa wanachinja mpira golini kwetu unategemea nini?Au unamuweka wakili mkono gharama za kesi zinazidi mnachodaiwa.
Kwa utawala huu hakuna hicho.hata wale samaki hakukua na ha sababu serikali kushindwa na ndio maana unaona hata mafisadi hayajaanza kumiminika kwenye mahakama yao,hatutaki kukosea!
 
Mbona kila siku Lissu anawagaragaraza?otherwise mumpigie magoti Lissu awatetee
 
Kuburuzwa mahakamani ni haki yao lakini hawapati ushindi.
Msitishike,zamani serikali ilikuwa inashindwa kesi kwa kuwa wanasheria wetu walikuwa wanachinja mpira golini kwetu unategemea nini?Au unamuweka wakili mkono gharama za kesi zinazidi mnachodaiwa.
Kwa utawala huu hakuna hicho.hata wale samaki hakukua na ha sababu serikali kushindwa na ndio maana unaona hata mafisadi hayajaanza kumiminika kwenye mahakama yao,hatutaki kukosea!
Mkosee mara ngapi? Subiri kupata yale ya samaki
 
Back
Top Bottom