Mmeiona hiii???????top ten brands in tanzania.......

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,110
115,873
The top ten brands in Tanzania, according to the research findings, were Azam, Nokia, Blue Band, Tigo, Vodacom Tanzania, Kilimanjaro Pure Drinking Water, Whitedent, University of Dar es Salaam, Chai Bora and Omo.
 
jamani maji ya ilala a.k.a pombe haimo? safari ni safari?
 
The top ten brands in Tanzania, according to the research findings, were Azam, Nokia, Blue Band, Tigo, Vodacom Tanzania, Kilimanjaro Pure Drinking Water, Whitedent, University of Dar es Salaam, Chai Bora and Omo.

...Brand AZAM unajua hapo kuna mikate, Juices, Unga wa mahindi, maji ya kunywa nk
Ukimuuliza mtu yeyote hata kwa kumkurupua akutajie bidhaa moja ya AZAM atakutajia.

Vodacom sijashangaa, Jina limedumu miaka mingi sana, ukitaja Voda au vodacom mtu anajua unamaanisha mtandao wao...tofauti na TiGo, ambao zamani walijulikana kama Buzz au Mobitel...kubadilishwa majina mara kwa mara kunapoteza 'ladha' ya Brand.

Omo! --- ukiitaja tu mtu anajua ni sabuni ya unga ya kufulia, rangi ya Blue na povu jingi.
Pamoja na yote hayo, binafsi nimeshangzwa kukosekana; KONYAGI.
 
The top ten brands in Tanzania, according to the research findings, were Azam, Nokia, Blue Band, Tigo, Vodacom Tanzania, Kilimanjaro Pure Drinking Water, Whitedent, University of Dar es Salaam, Chai Bora and Omo.
What is the methodology of identifying top brands? Is it Saleability? Recognisability? Spreadability? Or what? Otherwise it could be simply subjective. You could have Safari as your top brand while I have Coca Cola as my top brand.
 
Back
Top Bottom