Mmeamini CAG kibaraka mwingine wa CCM? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mmeamini CAG kibaraka mwingine wa CCM?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Aug 23, 2011.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Aug 23, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,605
  Likes Received: 5,780
  Trophy Points: 280
  Yaani nimemownea huruma kweli huyu baba kaidhalilisha kweli taalumaa ya uhasibu
  sikuwahi kufikiria hata siku moja atatetea uhalifu kwa kusema hansad imesema bilion 1 zilizowekwa
  million 550 jamani bila hata kuuliza ziliwekwa za nini...kweli haka kababu kamenitoka kabisa
  maskini watu walikuwa wanakaamini kweli lakini ni zaidi ya punguani kabisa
   
 2. C

  Choveki JF-Expert Member

  #2
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2006
  Messages: 448
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  haweza kumwaga unga wake
   
 3. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #3
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,534
  Likes Received: 5,685
  Trophy Points: 280
  utoah kapigwa mkwara! Ukisoma katiba yetu CAG ana nguvu kubwa sana na rais akishamteua hawezi kumtoa! Ana fall kwenye kundi la nidhamu ya uoga.ila hawezi kutetea mbinu za ukaguzi wake na report ilivyo!
   
 4. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #4
  Aug 23, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  msitegemee miujiza yeyote chini ya ccm bila kuking'oa hiki chama dhalimu tutaendelea kuumia mioyo tu!
   
 5. Wambandwa

  Wambandwa JF-Expert Member

  #5
  Aug 23, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 2,240
  Likes Received: 337
  Trophy Points: 180
  Every proffession has ethics to adhere to. Auditing falls under 'rare proffession' category as would be a pilot of a jumbo jet - a slight human error can cause a fatal accident!
  Katibu mkuu wa nishati anamobilize idara zilizo chini yake wachangie pesa za kupitisha bajeti.... Haya ni makosa sawa na rubani kutotambua kwamba ndege anayoongoza injini yake moja imezima wakati akiwa kwenye tufani kali na kimbunga.
   
 6. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #6
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Magamba yanalindana hayo
   
 7. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #7
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,534
  Likes Received: 5,685
  Trophy Points: 280
  ndio maana naona dawa ni kumbana utoah na report yake,hakuna sheria zilizovunjwa?kama hakuna,hawakufanya audit as per professional ethics.
   
 8. Lambardi

  Lambardi JF-Expert Member

  #8
  Aug 23, 2011
  Joined: Feb 7, 2008
  Messages: 10,320
  Likes Received: 5,611
  Trophy Points: 280
  Pinda unasubiri nini baba???si utoke hapo maana ulisha hukumu tayari!!
   
 9. Kipis

  Kipis JF-Expert Member

  #9
  Aug 23, 2011
  Joined: Jul 23, 2011
  Messages: 493
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  hizo ndizo sera za sisiem! Tutakufa polepole kama wafuasi wa kibwetere.
   
 10. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #10
  Aug 23, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tunataka Pinda na Shelukindo watuambie ukweli kuhusu hii komedi yao..hatutaki kusikia ujinga huu wa CAG...na watueleze ikiwa jairo hatafukuzwa wao waanze kujiondoa..
   
 11. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #11
  Aug 23, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Duuuh hata mimi mwenyewe nilishangaa niliposikia eti Jairo hana hatia na kuanzia kesho awe amesharudi kazini! Duuuh kweli bado kazi ipo.
   
 12. G

  Gaza Senior Member

  #12
  Aug 23, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 103
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Luhanjo mwenyewe mwizi na alilipuliwa na huyohuyo Shelukindo hivyo hawezi kumtosa mwizi mwenzie, Ila Kikwete kwa hili lazima achukue hatua kashfa ya Jairo ni nzito sana vinginevyo tuta waomba Chadema maandamano nchi nzima
   
 13. mikatabafeki

  mikatabafeki JF-Expert Member

  #13
  Aug 23, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 12,837
  Likes Received: 2,101
  Trophy Points: 280
  gamba ni gamba tu bado sumu ile ile pambaaaaf sao
   
Loading...