Mme kumbaka mke wake??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mme kumbaka mke wake???

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Speaker, Jul 9, 2011.

 1. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #1
  Jul 9, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Nimesoma gazeti la nipashe la tar9.7.2011,...
  kwamba utafiti ulio fanyika unaonesha "wanawake wengi hubakwa na waume zao",....

  Hii nime nistua kidogo,wanabakwa vipi na waume zao?
  kubaka ni nini,...yaani ni ipi definition ya kubaka?
  kama inatokea mme anambaka mke wake,..inawezekana pia mke akambaka mme wake?

  so,kisheria mtu anaweza kufungwa ile miaka mingapi sijui kwa
  kumbaka mke wake?
  nini solution ya tatizo hilo?
  me bado mdogo,nifumbueni macho hayo yote hayajaelezewa kwenye gazeti
  hili.
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jul 9, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Tulishaliongelea hili...fukunyua post za nyuma utapata majibu yako!!
   
 3. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #3
  Jul 9, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  Dahhhh
  Mie nadhani kubaka
  Ni kumlazimisha mtu kufanya ( sex) bila
  Hidhini yake..
   
 4. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #4
  Jul 9, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Ingekua hivo basi hata ukimwi usingekua unaongelewa leo,...
  au hili gazeti lisingetoa habari hii leo
  nimejitahidi kutafuta kabla ya kuanzisha hii,...nipe link
   
 5. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #5
  Jul 9, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  ukigombana na mke wako
  akawa amukununia,halafu ukatumia ubabe ku sex nae
  hapo ndi kubaka
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  Jul 9, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mhhh,kumbe kuna kutongozana tena kwenye ndoa?
  mbona shughuli
   
 7. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #7
  Jul 9, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,927
  Trophy Points: 280
  mwanamme hawazi kumbaka mkewe kama bado wako kwenye ndoa, labda wawe wametengena kwa muda (ambayo hua ni miaka 3) wakisubiri divorce. ila kama ndoa inaendelea, hata kama mwanamke hataki bwana akizidiwa akamlazimisha sheria ya tz haitambui hilo kama ni kubaka....ila sheria za nchi za nje huo ni ubakaji.....ndio maana wazungu anaweza kuamua tu kutofanya mapenzi hata mwezi akiamua...lakinini hapa sisi wabongo tuna raha hiyo sheria haipo kwetu, manaka wanawake wetu hawa na jenda zao hizi wangetuonea sana..
   
 8. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #8
  Jul 9, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  lakini si mkeo?
  imeandikwa kwenye mithali,..."unywe maji ya chemchem ya kisima chako mwenyewe",...
  kama ndo hivi mbona itakua ngumu kuoa sasa,...
  yaani nimtongoze mke wangu tena?

  asemeje?
  ngoja nifikirie?haha duh mnakazi mlio oa kama ndo hivo
   
 9. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #9
  Jul 9, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hawa wamesema "wanaume" wanabaka wake zao,....wako kwenye ndoa,...
  je,inawezekana mke kumbaka mme wake kama ndo hivo?
   
 10. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #10
  Jul 9, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Kwahiyo ungeomba link bila hayo mengine usingepata ama?!
   
 11. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #11
  Jul 9, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,822
  Likes Received: 22,467
  Trophy Points: 280
  hata kama mkeo,ubabe wa nini??????
  kama kakasirika,muacha hasira ziishe...
  kwani usipo sex kwa siku moja au mbili utakufa???

  mpe haki ya kurudisha moyo wake kwako
  baada ya hasira kumuisha.....

  mwisho sex na mtu anae participate ndo tamu.
  kuliko ya kumlazimisha mtu...
   
 12. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #12
  Jul 9, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  nisamehe lizzy,nipo chini ya miguu yako please
   
 13. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #13
  Jul 9, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kuna ulazima wa kuoa wake wawili kwa hali hii,...
  nahisi ndo maana na makahaba hawaishi mjini maana
  ndo kipozeo cha wale walio chuniwa na wake zao
   
 14. CPU

  CPU JF Gold Member

  #14
  Jul 9, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 3,871
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Nakumbuka Mbu alisema kuna mstari mdogo sana unaotofautisha kubaka na kutobaka
  Unakubaliana na mtu unaenda nae mpaka kitandani, mmepeana mabusu, mmeshikana hapa na pale, mnavua nguo ghafla mwenzako anasema hataki . . . . .
   
 15. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #15
  Jul 9, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hahaha,ukilazimisha umebaka duh hakyanani,...
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Jul 9, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
 17. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #17
  Jul 9, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,059
  Likes Received: 3,927
  Trophy Points: 280
  mimi ninayeandika hapa ni mwanasheria wa hapahapa bongo. mwanamke hawezi kumbaka mwanaume katika sheria za tz....hata kama sio mme wake. mwanaume pia kisheria za tz hawezi kumbaka mkewe aliyeko kwenye ndoa, labda kama wako kwenye separation wakisubiria divorce...soma sospa(sexual offenses special provisons Act ya 1998 ambayo iliamend sexual offenses za penal code)....utapata kuelewa vizuri....

  however, kuna matukio kibao hata sisi wanasheria yanatusumbua, kwamfano, kuna wamama au wadada watu wazima wengi tu wanawalazimisha watoto wa kiume wa miaka hata chini ya 15 kufanya nao ngono...pia kuna mmama tulishawahi kumkamata anamlazimisha mtoto wa miaka mitano kumlamba k, mtoto alikuwa anamlamba au kumnyonya mara kwa mara alafu yeye anampa pipi....badaye mtoto kaja kutoa siri akifikiri sio kosa...ila alishalaanikwa kuona uchi wa mtu mzima na yeye ni mtoto mdogo...hayo yote yanashughulikiwa kwa namna tofauti lakini sio kubaka...labda kama uki define kubaka pasipo kuwa kisheria....
   
 18. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #18
  Jul 9, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  duh,aiseee kazi kweli kweli,...
  bora umenitoa uoga,isijetokea naoa afu nafungwa eti nimembaka mke wangu
   
 19. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #19
  Jul 9, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
 20. Mr Rocky

  Mr Rocky JF-Expert Member

  #20
  Jul 9, 2011
  Joined: Oct 10, 2007
  Messages: 15,186
  Likes Received: 570
  Trophy Points: 280
  Hute naomba nitofautiane na wewe kidogo
  Mwanaume anaweza kumbaka mke wake pale atapomlazimisha mwanamke kufanya nae mapenzi bila ridhaa yake. Huwa inatokea wakati labda hata mume amelewa anamlazimisha mwanamke kufanya nae mapenzi bila ridhaa yake. So suala la mwanaume kumbaka mke wake lipo. Au kipindi ambacho labda mwanammke amejifungua mume anamlazimisha kufanya sex huwa inatokea kubaka. Ukisoma Sospa utaona vifungu ambavyo vinasema wazi kuwa mume anaweza kumbaka mke wake
   
Loading...