Kasomi
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 11,036
- 20,337
NANI JEMBE;
Nyumbani kwa mlevi, kwa nje kuna kisima kirefu
Siku moja Mume alirudi usiku amelewa top, Mambo yakawa hivi:
MME: Fungua mlango
MKE: Leo sifungui Nimechoshwa na ulevi wako
MME: Kama haufungui najitupia kwenye kisima bora nife
MKE: Kufa hauna faida yoyote kwangu
MME: akachukua jiwe kubwa akalitupia kwenye kisima Dubwiii..
MKE: akastuka haraka akajifunga kanga moja akatoka nje.
Ghafla Mmewe akaingia ndani na kumfungia Mkewe nje.
MKE: Nifungulie, la sivyo nitapiga kelele majirani waje.
MME: Piga hizo kelele zako wakija majirani waambie unatoka wapi usiku huu na kanga moja.
Jamani ndoa navituko, we acha tuu