The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 6,191
- 13,614
Mzuqa wanajamvi!
Aliapa atakufa na Maduro na kumlinda kwa maisha yake dhidi ya mabeberu. Ila jana kaandika kujiuzulu na kuunga juhudi za upinzani Venezuela dhidi ya Dikteta Maduro.
Manuel Ricardo Christopher Figuera ambaye alikuwa mkuu wa jeshi la polisi Venezuela na mfuasi mwaminifu wa Maduro alichukua uamuz mzito na wakijasiri. Hii inaonyesha kuna mpasuko mkubwa sana kwenye inner circle ya Maduro na it's just a matter of time.
Juzi tuliona Sudan naona Upepo u naelekea zaidi huko bara lingine. Huo Upepo Ukipiga u turn itakuwa zamu yetu na itakuwa shangwe.
Big up Mmatumbi mwenzetu.