Mmarekani mweusi amiminiwa risasi na polisi usiku wa kuamkia leo

mshipa

JF-Expert Member
Jun 16, 2015
12,160
22,615
Habari za mda huu,

Polisi nchini Marekani wamemuua mtu mmoja ambaye kwa taarifa za awali inaonyesha alikuwa anagombelezea ugomvi wa wanawake wawili waliokuwa wanagombana nje ya eneo analoishi mmarekani huyo mweusi

Baada ya polisi kufika eneo la tukio na kuamua ugomvi huo inaonyesha walimchania jamaa shati lake ndipo akaondoka kuelekea kwenye gari yake na askari hao kumfuata kwa nyuma na kummiminia risasi nyingi mwilini

#Blacklivesmatter#
 
Habari za mda huu,...

Huyu mtu hajafa yuko hospitali intensive care

Kenosha shooting: Protests erupt after US police shoot black man
Protests erupt as Wisconsin police shoot black man

Protests have erupted in the US state of Wisconsin after police shot a black man many times while responding to what they said was a domestic incident.

The man, identified as Jacob Blake, was taken to hospital for surgery and is now in intensive care, his family said.

Video posted online appears to show Mr Blake being shot in the back as he tries to get into a car in Kenosha.

Authorities in the city declared an emergency overnight curfew after unrest broke out following the shooting.

Hundreds of people marched on police headquarters on Sunday night. Vehicles were set on fire and protesters shouted "We won't back down".
 
Hizo 'labda' ndio hazitakiwi, kwa nini wasisubiri waone anachofanya?
Jamaa kakosea mzee angekaushaaa tuu...!! Wao watasema walikuwa wanajihamii ila mamaee polisi wa Marekani wangesee sanaaa hawa wabongo sasa afadhalii... Watu weusi marekani sawa na mbwa tuu
 
Hajafa....

Unategemea nini kwa TAIFA Lenye WHITE SUPREMACY ambalo Sasa Linaongozwa na mh. Trump Rais Ambaye Dada Yake Tumbo Moja Amesema kuwa Ni MKATILI, MWONGO, LAGHAI asiye na quality za Uongozi?!!!!!!

Haya mambo ya kuwapima VIONGOZI MATERIALISTICALLY na kuacha TABIA HULKA NA MAADILI YAO ndiyo Yanayoitatiza Dunia....

Sioni Yakiisha hivi karibuni!!

Muuza Al Kasus!!
 
Back
Top Bottom