Mmarekani adai kufanyiwa ufisadi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mmarekani adai kufanyiwa ufisadi

Discussion in 'International Forum' started by Muke Ya Muzungu, Aug 11, 2009.

 1. Muke Ya Muzungu

  Muke Ya Muzungu JF-Expert Member

  #1
  Aug 11, 2009
  Joined: Jun 17, 2009
  Messages: 3,451
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 0
  Wadau vita vyetu dhidi ya ufisadi lazima viendelee, hebu someni hii barua hapa chini. Mzungu analia kweli kweli
  Subject: FW: RE: MY NIGHTMARE IN TANZANIA
  Date: Tue, 4 Aug 2009 15:04:53 -0400
  From: Ray Bergen
  To: Lisana Koliskowski

  Hello Lisa
  I am glad to be back in America after such a disastrous trip to Tanzania. The most important thing was getting back home safely and seeing my family. The only thing I can assure you is that, I will never set my foot in that country, and will advice anybody planning to visit Tanzania to refrain from doing so. The nightmare started at the airport, when my luggage checked in from Amsterdam disappeared mysteriously in Dar es Salaam. And my inquiry with the airport authorities was forwarded to the police. At the police station (Central) I was told that I could not get help unless I bribe them $500, because they needed the money for fuel and other necessary needs to investigate the theft. Supposedly the police officer did not open the case and turned me to be the criminal, constantly coming to my Hotel room, asking me for money. In short all my four year work was lost with the laptop at the Airport.

  Came clearing the vehicle we were supposed to use in the research, from the agents to the customs authorities, the vehicle exceeded the actual cost. I would have paid $38,000 for a $16,000 vehicle. I could not bear being in such a corrupt country and decided to terminate my research, and left the vehicle uncleared after one month of struggle with the customs, who needed money after money and bogus letters. Supposedly these exuberant fees were not supposed to be there in the first place, because all registered NGO’s are supposed to be exempted from paying these taxes and fees, but then the deal had been cooked to rip Muzungu off. Being a Muzungu is being a cash cow in Tanzania. They don’t even fucken know that we are trying to help them. I pity the African continent and her people, I am glad they did not confuse me with Albino

  Please advise any potential traveler to Tanzania to look for alternative country to visit, and if possible pass the message to the State Department as a warning to other Americans intending to visit this poor and corrupt country. I visited Botswana with my family in 2006. I tell you, could not be more satisfied with their politeness and straightforwardness, the same was in Mozambique where we received utmost hospitality.
  Please, be careful and only travel to Tanzania when there is need and not to visit and do not carry any valuable. As soon as you arrive, register with the American Embassy

  Sincerely,

  Ray Bergen
   
  Last edited by a moderator: Aug 11, 2009
 2. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #2
  Aug 11, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  F-O, haya mambo huwa yanatokea lakini huyu jamaa yako kaongezea chumvi na hizi ni tuhuma nzito sana na aibu kwa Taifa.

  Kama kwaida watu hapa JF watakuomba uthibitishe source ya barua hiyo.
   
 3. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #3
  Aug 11, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Reading through the letter, it is obvious that it has not been written by an American as the one who posted the message purported.
   
 4. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #4
  Aug 11, 2009
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  The story stinks. Mizigo iliyopotezwa na KLM anaifuatilia Central? Au KLM walimhakikishia kuwa ilifika na kupokewa bongo? Hiyo laptop yake nayo ali-i-check in? Researcher hajui tofauti kati ya exorbitant na exuberant! Huyu na hao Birthers hawana tofauti. Halafu anaomba ujumbe atumiwe kwa wakina Hillary! Yeye mwenyewe anashindwa nini?

  Amandla........
   
 5. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #5
  Aug 11, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,868
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Bongo,

  I doubt ukweli wa hii habari!!

  Rushwa ipo ndiyo..ila huenda alitaka short cut kama vile kukuomboa gari bila kulipia gari!
   
 6. V

  Vakwavwe JF-Expert Member

  #6
  Aug 11, 2009
  Joined: May 16, 2009
  Messages: 507
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  unafikiri ameitunga ili apate nini?labda kama sio mtanzania...tarehe 06/08/09 nilikuwa airport kuja zanzibar....kuna watu walikuwa wanaelekea ethiopia/kenya something happened wakawa wamechelewa kuboard wakawa wanakimbizana kuingia na kufanya final check....abiria mmoja Mzungu,mtu wa makamo akaweka kwenye tray simu zake na saa.....ile imemtangulia upande wa pili jamaa wakanywa saa...mzee alidata,anang'aka where is my watch?officials wanamuangalia na kumcheka....am telling you nilichukia sana,wale watu walikuwa wa3 na inaonyesha walifanya kupasiana ile saa....walitake advantage ya kupanic mzee kufanya huo uharamia huo....,hivi vitu mvisikie tu wandugu usiombe vikukute.
  tunahitaji mabadiliko sehemu nyingi sana..
   
 7. K

  Kwame Nkrumah JF-Expert Member

  #7
  Aug 11, 2009
  Joined: Dec 2, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Kwa nini mnabisha kama aliombwa rushwa na kuibiwa laptop? Mbona mambo ya bandarini yamezungumwa sana hapa. Wizi wa Airport mbona kila siku watu wanaibiwa na kulalamika?Mtoto wa Rais mwenyewe aliibiwa simu. Akilalamika mswahili sawa, akilalamika mzungu si sawa? Si tunalipa hela nyingi sana za matangazo nje ili watalii waje? JK si anazunguka nje mara nyingi ili watu kama hawa waje? Kwa nini hatupendi kuambiwa ukweli, pale airport hapafai. Sasa mtu ameibiwa ,halafu mtu anauliza eti kwa nini kaenda polisi, sasa ulitaka aende kanisani?
   
 8. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #8
  Aug 11, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Soma vizuri post yangu. Sijakanusha kama haikutokea, bali nimesema kuwa barua au e mail hiyo haikuandikwa na Mmarekani kutokana na uandishi.
   
 9. F

  Fundi Mchundo JF-Expert Member

  #9
  Aug 11, 2009
  Joined: Nov 9, 2007
  Messages: 4,706
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 145
  Unapopotea mzigo ulio-check in, hatua ya kwanza ni airline uliyokuja nayo. Mtu hugundua kuwa mzigo umepotea asipouona kwenye carousel. Airline ndiyo wenye wajibu wa kufuatilia uko wapi. Na unakuwa mikononi mwao hadi wanapomkabidhi abiria. Sasa mwandishi angetuambia kuwa hao watu wa airline ( au wawakilishi wao)walimkabidhi nani Tanzania kabla ya kumpa mwenyewe? Sasa kama aliisha uchukua halafu ukapotea minononi mwake hilo ni swala lingine. Au tuseme alichukua sanduku lake kutoka KLM halafu jamaa wakamchapa wakati anasubiri usafiri? Sasa hayo ya ku-check in Amsterdam yametokea wapi?

  Na hilo la saa. Ninavyojuwa ni kuwa hizo trei zinaenda taratibu. Mara nyingi unakuwa mwenye mali inakukuta umeshafika. Unless jamaa walimchelewesha makusudi kwenye kumkagua mwenyewe. Kama sio, basi wabongo wakali maana wana uwezo wa kupenyeza mikono kwenye lile dubwana na kunyakua saa.

  Inawezekana kabisa kuwa walimchapa lakini vile vile kuna kughafirika. Kwa vile tunajua wabongo ni wezi basi kitu kisiponekana ( pengine ulikisahau nyumbani, au kilidondoka mahali) unajua umeingizwa mjini. Nasikia kuna muimbaji maarufu mmoja nae aliwakama watu wizi wakati haikuwa hivyo.

  Wizi upo kila mahali. Ndiyo maana siku zote unaambiwa uangalie mizigo yako. Mimi sikatai kuwa kuna michezo michafu inafanyika pale airport. La hasha. Ninachotilia shaka ni jinsi hii habari ilivyokuja. Si kila kitu kinachoandiokwa na anayejifanya mzungu ni kweli. Hasa wakati huu wa mtandao. machizi wako wengi kwenye w.w.w.

  Amandla........
   
 10. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #10
  Aug 11, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,761
  Trophy Points: 280
  Kama kawaida yetu watanzania,

  Tuko tunatafuta mtu wa kumbebesha mzigo. Hivi kwanini watanzania sisi ni apologetics sana? People you break it, you own it.

  Tatizo watu WENGI HUMU mnakaa majuu Tanzania watu hamuijui. Baadhi ni watoto wa mafisadi mkija bongo mnaishia Masaki na Obey! Mnakuta gari ya baba STJ....Iko inawasubiri airport..Jamani..kwangu mimi alichokisema huyu aliyeandika hii email..haijalishi ni nani...sioni ajabu kutokea bongo.

  Nikupe kisa kimoja: Mimi ni mbongo..niliwahi kuvunjiwa nyumba nikaibiwa kila kitu. Lakini sitasahau nilivyokwenda polisi. It was a NIGHTMARE. Nilifuatilia mwishoni nikasema..haya bana...Na huwezi amini hawa wezi waliniibia kila kitu hata vyeti vya shule! Leo mtu anakuja hapa anaanza kuongea eti email siyo ya Mu-USA..kwa ajili ya kiingereza..man are you real? Kwani kila mu-USA anaandika kiingereza kilichonyooka?

  Watanzania tubadilike..Tanzania inahitaji mabadiliko makubwa sana. Na wa kuibadilisha ni sisi. TANZANIA kuna bureacracy ya hali ya juu. WANAOIFAIDI BONGO NI MAFISADI NA FAMILIA YAO.


  Tanzania is my country..lakini uzembe, rushwa, unprofessionalism na ufisadi vimezidi! Shame on us Tanzanians! Harafu hapa tunakuwa apologetic baada ya kuangalia hali halisi tusaidiane kudeal na hawa watu...
   
 11. Lyampinga

  Lyampinga Senior Member

  #11
  Aug 11, 2009
  Joined: Apr 13, 2008
  Messages: 143
  Likes Received: 52
  Trophy Points: 45
  Yaliyomkuta mzungu huyo si mageni jamani, mimi mwenyewe nilipatwa na mkasa kama huo na watu wa TRA wakati nimetuma Lori, yaani unasumbuliwa mpaka unasema kwanini shida zote hizi wakati ukitumia bandari ya mombasa,hakuna kero kabisa. MWANA JF USITUMIE BANDARI YA DAR ES SALAAM HATA SIKU MOJA, URASIMU NI MKUBWA BANDARINI
   
 12. Masanja

  Masanja JF-Expert Member

  #12
  Aug 11, 2009
  Joined: Aug 1, 2007
  Messages: 3,595
  Likes Received: 3,761
  Trophy Points: 280
  Fundi inawezekana wewe bongo huijui..labda ukija unapitia VIP kwa akina FMES!

  Fundi issue ni kwamba wenzetu wana IMANI na polisi. Wakiona unampa longo longo yeye anaenda polisi maana anajua kule ndo atapata msaada! Sisi polisi hatuiamini hivyo. NDO maana unaweza shangaa. Nchi za wenzetu polisi ndo kimbilio la kila mtu.

  Anyway I have a first hand experience ya kuibiwa na kuombwa rushwa pale airport...so I think I have a different perspective than my colleagues here.
   
 13. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #13
  Aug 11, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  mie pale washanichomoa dola 400 sina hata hamu nao wale

  Immigration Nairobi bwana!! kwanza air condition zinafanya kazi,watu wako smart hawanuki jasho, hawakuchoshi na maswali ya kijinga na mwishowe wee mwenyewe unawaambia wa keep change hizo dola kumi zilizobaki

  lakini si Dar!!
   
 14. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #14
  Aug 11, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  kulikuwa na thread ya bandari ya mombasa ni bora kuliko dar SIJUI IKO WAPI
   
 15. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #15
  Aug 11, 2009
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Nimeshamjibu mwingine pia kuhusu hiyo hoja. Sijakanusha kama jambo hilo halikutokea, nimesema kuwa aliyeandika hiyo sio Mmarekani. By the way, wengine humu sio watoto kama unavyofikiria, ni watu wazima, hata kama tunakaa majuu, Tanzania tunaijua fika. Tukija huko tunakaa kwenye nyumba zetu na kuendesha magari yetu wenyewe.
   
 16. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #16
  Aug 11, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  watu kibao wanapitishia magari mombasa, ukipitishia bongo wale jamaa wa ushuru wanachagua wao gari lako ni bei gani na bila kuonyesha uthibitisho wowote ule wa hiyo bei..
  hata ukiwaambia waangalie online hawataki....
  mzee wa kaya alivyofika pale akatabasamu unatagemea wale wataaacha
   
 17. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #17
  Aug 11, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hahaha, hii ndio bongo kumbe tulioibiwa airport tuko wengi enh?
   
 18. O

  Orkesumet Member

  #18
  Aug 11, 2009
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 75
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  Kuna urasimu TRA na pia bongo kuna wizi ila sikubaliani na jinsi huyu zinduna anavyotaka kuifanya TZ kama jalala na watu wake ni hovyo. Aache uzushi, amechanganya madawa tu! utaratibu unaeleweka kabisa jinsi ya kufuatilia mzigo uliopotea. inawezekana mzigo ulipotea amsterdam na siyo dar! na hata kama ni dar basi alikuwa nao yeye hivyo kupotea ni uzembe wake!
   
 19. Babylon

  Babylon JF-Expert Member

  #19
  Aug 11, 2009
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 1,338
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Taifa hili halina aibu wala halijuwi vibaya,ni moja kati ya sifa za nchi zinazosifika na sisi sote tunaelewa hilo tusijidanganye.
   
 20. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #20
  Aug 11, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  Fundi hujaja nyumbani miaka kama 20 hivi naona.......au utakuwa Fundi mchundo Malecela....nsema hivyo kw sbabu ulivyoandika vile ni M papua New guinea......

  .....mkuu kwa taaarifa yako pale njia panda ya majuu wanaiba mpaka chupi sembuse saa......niliona malalamiko kwa michuzi watu wanaibiwa kila leo pale.....kuna mtu kaibiwa mdoli wa mwanae pale eapoti aibu sana mdoli wenyewe alinunua $2 wakamkomba chupi,peni,kamera na kofia.....huwezi kuamini ire mijitu inafungua mizigo saa ngapi.....hata ukiweka kufuli wanavunja....

  ushauri wangu itemeni bongo eaapoti tumieni nairobi kisha chukueni basi mpaka maakwenu.....naa rire ribandari achaneni naro tumieni bandari ya mombasa...si mliona jk alipokwenda pale kacheka cheka naa kusema anawajua wezi kisha kala kona...raisi huyo....
   
Loading...