Mlundikano wa mahabusu: Iundwe tume ya Majaji, Mawakili na Viongozi wa Dini

Lord OSAGYEFO

JF-Expert Member
Feb 19, 2021
3,086
4,879
Ukweli hii ni safari ya pili rais anamwagiza IGP. Binafsi huo mlundikano umetengenezwa na jeshi la polisi kwa sababu zao kutokana na kuwabambikizia watu wengi kesi na kusababisha upelelezi kutokamilika hivyo kuwaachia polisi hao hao waumalize huo mlundikano ni vigumu sana.

Ushauri kwa Mh. Rais

Ni vema ukaunda tume huru itakayowajumuisha
  • Majaji
  • Wanasheria
  • Viongozi wa dini
Wakapita ktk magereza ya nchi nzima kukutana na hao mahabusu na kuwasikiliza kisha ripoti ya hiyo tume ikawakilishwa kwako kwa utekelezaji.

Wananchi wanateseka sana magerezani
 
Mahakama, DPP na Polisi wakishirikiana kwa pamoja watamaliza msongamano mahabusu.
 
Ukweli hii ni safari ya pili rais anamwagiza IGP. Binafsi huo mlundikano umetengenezwa na jeshi la polisi kwa sababu zao kutokana na kuwabambikizia watu wengi kesi na kusababisha upelelezi kutokamilika hivyo kuwaachia polisi hao hao waumalize huo mlundikano ni vigumu sana.

Ushauri kwa Mh. Rais

Ni vema ukaunda tume huru itakayowajumuisha
  • Majaji
  • Wanasheria
  • Viongozi wa dini
Wakapita ktk magereza ya nchi nzima kukutana na hao mahabusu na kuwasikiliza kisha ripoti ya hiyo tume ikawakilishwa kwako kwa utekelezaji.

Wananchi wanateseka sana magerezani

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Ni hivi sisi Tanzania bado Siasa ndo kila kitu! atujali sayansi wala Uchumi au Mageuzi ya dunia kwenye sekta zote!! USA toka miaka ya 2000. Wamepunguza misongamano magerezani na pia ata mahabusu.Hapa jamaa yangu mmoja aliwai kuja na solution kama ya USA ya kupunguza garama/misongamano magerezani akuapata ushirikiano wa wahusika.USA wenzetu ata wa kumfunga au kumweka mahabusu wanaangalia😁
vifaa hivi ata mfungwa au ndugu wanaweza lipia na ikaokoa mamilioni ya Serikali kukaa na Mwizi wa kuku au Tecno ya laki 2 miaka 5 jela na kuitia Serikali hasara ya 10M.

images (10).jpeg

download.jpeg

images (13).jpeg

images (14).jpeg

images (11).jpeg
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom