mlowa one

mlowa one

New Member
Sep 30, 2011
1
0
nimekaa nimefikiri ,nimegundua kua ccm madarakani hauwezi kutoka kwani nao wamegundua kuwa ni chama cha wanainchi kwa hiyo hawabweteki hata kidogo,nafurahi sn kuona ni wapembuzi wa mambo ,mfano hai igunga wameshinda kiulaini
 
Today 18:31

Junior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Join Date : 30th September 2011
Posts : 1
Rep Power : 0
 
nimekaa nimefikiri ,nimegundua kua ccm madarakani hauwezi kutoka kwani nao wamegundua kuwa ni chama cha wanainchi kwa hiyo hawabweteki hata kidogo,nafurahi sn kuona ni wapembuzi wa mambo ,mfano hai igunga wameshinda kiulaini
Kama wewe ndio tegemeo lao basi kazi ipo!!!! Hata kwa kuingia tu hukujui? Any way karibu
 
...duh kaanza vizur sana. Yaani post ya kwanza tu ki nape nape...hahahahaaaaa mpeni email ya nnauye awe anawasiliana nae...wait! Wait! Wait!....unajua huyu anaweza kuwa ni nape mwenyewe kaamua kuja na id mpya baada ya igunga....i dobt tht.
 
Haya matakataka mengne cjui yanatokeaga wapi humu jf?
 
Jamani hivi hamjui kila ki2 kina mahali pake? Mwingine alituambia tujadili mambo mengine na sio kazi,hapa ktk jukwaa la kazi! , jamani km huna cha kupost kaa kimya.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom