Mlolongo wa Ajali za Barabarani Tanzania 2007-2011

jamnani ajali hizi zimezidi sasa hata kama ajali haina kinga lakini zingine zinasababishwa na wenye haya mabasi na madereva wao
 
  • Thanks
Reactions: FJM
kuliko mikumi jamani mbona asilimia kubwa ajari mwaka huu ajari ni maeneo hayo. Mungu walaze mahali pema peponi marehemu, na pia wapenguvu majeruhi walio nusurika ktk ajali hiyo.
 
Inasikitisha sana, ila nashauri wamiliki wa magari wawe wanayafanyia matengenezo na kucheki vipuli vyake, kukaza nut tu na kuongeza mafuta haitoshi. Bus za hood zimeanza kuchoka sasa wajaribu kutafuta njia mbadala either kwa kuleta bus mpya au madereva kwenda speed ya kawaida
 
R.I.P. Tatizo wamiliki wa mabasi nao wanapenda vitu cheap cheap wanafunga matairi mabovu yasiyo na viwango na madereva wao ni vichaa wanakimbia utafikiri wameambiwa mwisho wa dunia sasa na hizo kona kona za iyovu duh MUNGU atuepusha na mibalaa hii ya ajali na majeruhi MUNGU awasaidie wapone haraka na kuendelea na ujenzi wa Taifa lenye serikali iliyopigwa nusu kaputi na kulala fofofo!
 
  • Thanks
Reactions: FJM
mwaka wa shetani huu
<br />
<br />
UNADHANI YALE MADUDU
YA PALE MWEMBETEA
YANAPATA WAPI MSOSI?
ILA NOWADAYS WAMILIKI
WA VYOMBO VYA USAFIRI
NA MADEREVA WAO ARE NOT
SERIOUS HAWAJALI WHAT
WILL HAPPEN THE ONLY THING THEY ARE AFTER TO
IS MKUKUTA.A.K.A PESA
HAWAFANYII MAGARI YAO SERVICE SIJUI WANAONA BINADAM WENZAO KAMA VIAZ MBATATA AU? NA PIA NADHANI HAWA MADEREVA WENGI WANA LESENI ZA KIMAGUMASHI WANADHANI KUENDESHA ABIRIA NI SAWA NA KUENDESHA POWER TILA BOVU KIJIJINI.RIP WATU
 
Iyovi ni sehemu nayoiogopa na siipendi nikiwa naelekea nyanda za juu iringa, mbeya, ruvuma na rukwa.
Rip kwa waliotutoka.
 
sasa kusema R.I.P imeshakua mazoea.R.I.P.Serikali tunaomba muwe na huruma.kwanini msidhibiti hii kitu jamani?kunani moro?
 
Back
Top Bottom