"MLOKOLE" ananitia majaribuni!

Kashaijabutege

JF-Expert Member
Oct 20, 2010
2,696
740
Wana JF

Kuna dada wa 'Kilokole' ananisumbua sana. Alianza kwa kuninunulia Biblia ndogo ya mfukoni na kunishawishi niache dhehebu langu la Kikatoliki. Yeye anasema ameoneshwa katika maono kuwa napaswa kubadilika kabla ya mwaka huu kuisha na Mungu amwemwahidi 'kupanda cheo na kupata faraja' iwapo nitamkubalia ombi lake.

Kama haitoshi, kila siku lazima anitumie meseji za neno la Mungu na nyimbo za injili.

Waungwana nishaurini, nifanyeje?
 
Si wote wenye mbio washindao katika mashindano, na si wote wenye nguvu wapatao chakula chao; bali bahati huwapata wote"
 
Wana JF

Kuna dada wa 'Kilokole' ananisumbua sana. Alianza kwa kuninunulia Biblia ndogo ya mfukoni na kunishawishi niache dhehebu langu la Kikatoliki. Yeye anasema ameoneshwa katika maono kuwa napaswa kubadilika kabla ya mwaka huu kuisha na Mungu amwemwahidi 'kupanda cheo na kupata faraja' iwapo nitamkubalia ombi lake.

Kama haitoshi, kila siku lazima anitumie meseji za neno la Mungu na nyimbo za injili.

Waungwana nishaurini, nifanyeje?
uSHINDWE KATIKA JINA LA YESU...
Anakutiaje majaribuni.?
Yaani ukipewa Biblia ndo unatiwa majaribuni au?
Au hizo meseji za neno?...acha bana!
 
Msikilize, huenda kakupenda na ili kukunasa rahisi anaona ukiingia ktk dhehebu lake itakuwa rahisi.
 
Wana JF

Kuna dada wa 'Kilokole' ananisumbua sana. Alianza kwa kuninunulia Biblia ndogo ya mfukoni na kunishawishi niache dhehebu langu la Kikatoliki. Yeye anasema ameoneshwa katika maono kuwa napaswa kubadilika kabla ya mwaka huu kuisha na Mungu amwemwahidi 'kupanda cheo na kupata faraja' iwapo nitamkubalia ombi lake.

Kama haitoshi, kila siku lazima anitumie meseji za neno la Mungu na nyimbo za injili.

Waungwana nishaurini, nifanyeje?
Mkuu usitoke kundini, atakuwa amekuzimikia tu, mchape huyo nanihiii zimemzidia tu, ana hamu ya ku-do, baada ya kuchapa mlete kwenye church letu la ukweli(red color).
 
Wana JF

Kuna dada wa 'Kilokole' ananisumbua sana. Alianza kwa kuninunulia Biblia ndogo ya mfukoni na kunishawishi niache dhehebu langu la Kikatoliki. Yeye anasema ameoneshwa katika maono kuwa napaswa kubadilika kabla ya mwaka huu kuisha na Mungu amwemwahidi 'kupanda cheo na kupata faraja' iwapo nitamkubalia ombi lake.

Kama haitoshi, kila siku lazima anitumie meseji za neno la Mungu na nyimbo za injili.

Ombi gani sasa mkubwa?? kukubali kubadilika au lipi?
Anyway labda nak

Waungwana nishaurini, nifanyeje?
kama ni anakutaka, swala ni usibweteke na ulokole. Mchukulie kwa uzito sawa na dem ambae ungekutana nae klab ila kwa nia nzuri tu ya kufind out ni wanamna gani!

If you find her positive,and your moyo umemwelewa.................
Me nikipata kama huyo ndani for life.
 
Chunga sana maamuzi utakayofikia siku hizi mitego kila mahali. Kondomu moja kwa kila tendo ndiyo itakuokoa. Acha ngono zembe.okoka umrejee yesu.
Kazi kwako.
 
Jaribu kumvumilia na ujaribu kufanya anavyotaka umsikilizie, pengine anakupenda tu na kwakua kaokoka anatamani ubadilike. Nawe jaribu kukaa nae umuulize ujue zamani alikuaje na nini kimemfanya aokoke, na ukiona maelezo yana ridhisha mchimbe angependa kuolewa na mwanaume gani labda, hapo unaweza jua anataka nini kwako. Nakama anapenda awe wako, muangalie kama umempenda na anafaa ni vizuri kuwa na mke mwenye hofu ya mungu hata kusumbua sana.
 
Labda kaonyeshwa unahitaji msaada wa kiroho! au njia zako mbaya, sasa anatafuta njia ya kukutoa ulipo.
 
wana jf

kuna dada wa 'kilokole' ananisumbua sana. Alianza kwa kuninunulia biblia ndogo ya mfukoni na kunishawishi niache dhehebu langu la kikatoliki. Yeye anasema ameoneshwa katika maono kuwa napaswa kubadilika kabla ya mwaka huu kuisha na mungu amwemwahidi 'kupanda cheo na kupata faraja' iwapo nitamkubalia ombi lake.

Kama haitoshi, kila siku lazima anitumie meseji za neno la mungu na nyimbo za injili.

Waungwana nishaurini, nifanyeje?

acha kamba hizo , kama huna cha kutuletea hapa, fanya homework na wadogo zako. Ama sivyo okoka na biblia umesha pewa.
 
Kama vipi mpotezee babu
waonesha humpendi/usije mtia majaribu/
yaani ukisha mmega ujiondoe taratibu/
ukimuhurumia utajiongezea thawabu...
 
Wana JF

Kuna dada wa 'Kilokole' ananisumbua sana. Alianza kwa kuninunulia Biblia ndogo ya mfukoni na kunishawishi niache dhehebu langu la Kikatoliki. Yeye anasema ameoneshwa katika maono kuwa napaswa kubadilika kabla ya mwaka huu kuisha na Mungu amwemwahidi 'kupanda cheo na kupata faraja' iwapo nitamkubalia ombi lake.

Kama haitoshi, kila siku lazima anitumie meseji za neno la Mungu na nyimbo za injili.

Waungwana nishaurini, nifanyeje?

Mjomba,si ni wewe ulikuja hapa kutafuta mwanamke wa kukuchuna na mbwembwe kibao kuwa mmetumia na mkeo lakini hazijaisha.Sasa huyo mlokole hamuogopi mkeo mpaka akutie majaribuni?Au mzee unataka kuongezea mke wa pili ambaye ni mlokole?Haya bana, kumbuka tu ukijaribu kuongeza mke wa pili na kanisani(katoliki) utakuwa umejiondoa na hata huko kwa walokole sijui kama kutaingilika.Kila la heri mkuu katika majaribu hayo ushinde au ushindwe yote heri.
 
Wana JF

Kuna dada wa 'Kilokole' ananisumbua sana. Alianza kwa kuninunulia Biblia ndogo ya mfukoni na kunishawishi niache dhehebu langu la Kikatoliki. Yeye anasema ameoneshwa katika maono kuwa napaswa kubadilika kabla ya mwaka huu kuisha na Mungu amwemwahidi 'kupanda cheo na kupata faraja' iwapo nitamkubalia ombi lake.

Kama haitoshi, kila siku lazima anitumie meseji za neno la Mungu na nyimbo za injili.

Waungwana nishaurini, nifanyeje?
Yaani kuingia kwako kwenye dhehebu la kilokole, ndio sababu ya yeye kupanda cheo na kupata faraja....!? Je umemuuliza vizuri kuhusiana na ilo?
 
Wana JF

Kuna dada wa 'Kilokole' ananisumbua sana. Alianza kwa kuninunulia Biblia ndogo ya mfukoni na kunishawishi niache dhehebu langu la Kikatoliki. Yeye anasema ameoneshwa katika maono kuwa napaswa kubadilika kabla ya mwaka huu kuisha na Mungu amwemwahidi 'kupanda cheo na kupata faraja' iwapo nitamkubalia ombi lake.

Kama haitoshi, kila siku lazima anitumie meseji za neno la Mungu na nyimbo za injili.

Waungwana nishaurini, nifanyeje?

Ndugu yangu, kubadili imani kwa ushawishi wa mtu mwingine ndio mwanzo wa kuyumba kwa mipango na mambo yako mengi ktk maisha yako, na hasa kuingia ktk madhehebu yaliyoibuka kipindi hiki. Mengi ya madhehebu haya hayana tofauti na makampuni ya biashara au magenge ya utapeli. Kama una mali unaweza kujikuta unafilisika. Watakwambia achana na mambo ya dunia (kama wale Wasabato Masalia), toa mali zako kwa mungu, yesu anakaribia kurudi. Chunga sana kijana
 
Kwani haya madhehebu yaliyoanza zamani nayo si yalianzishwa na watu tu kama wa waleo !jifunze historia wewe! AU UNATAKA WAANGLIKANA wakasirike tukikumbushana hapa! Mpe ushauri mzuri! Inawezekan huyo dada ni mlokelo kweli!si wakristo wametumwa kuhubiri injili kwa mataifa yote!
 
Back
Top Bottom