Mlipuko watokea katika kiwanda cha kusafisha mafuta mashariki mwa Saudi Arabia

HUaga sielewi labda nieleweshwe; hivi unapo sema "hi ndio imebaki kua faraja yenu" hua unamaanisha nini? Iran na Saudia wote ni Waarabu na wote ni waislamu sasa kwa huku bongo inakuaje mtu anachagua upande wakati wote hao hawatuhusu?
arsenal,man u,liver,mancity,zote timu za uingereza,inakuwaje sisi huku,tunachagua timu wakati hazituhusu?
 
Mripuko watokeo katika kiwanda cha kusafisha mafuta mashariki mwa Saudia

Shirika la Kitaifa la Mafuta nchini Saudi Arabia ARAMCO limetangaza kutokea mripuko katika kituo cha kusafisha mafuta, mashariki mwa nchi hiyo.
Taarifa iliyotolewa na shirika hilo imesema kuwa, kwa akali watu wawili ambao ni wafanyakazi wa kituo hicho cha kusafisha mafuta wamefariki dunia. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, mripuko huo umetokea katika kituo cha Al Jubail kilichopo mkoa wa Mashariki nchini humo.
Hii ni katika hali ambayo baadhi ya vyombo vya habari vimetangaza kuwa watu 18 wameuawa na kujeruhiwa katika tukio hilo. Hata hivyo shirika hilo la kitaifa la mafuta halijatoa taarifa zaidi juu ya chanzo cha mlipuko huo kwenye kituo hicho. Itakumbukwa kuwa baada ya wanamapambano wa Yemen kushambulia na kuteketeza taasisi za mafuta za Saudi Arabia mwezi uliopita, dhirika la ARAMCO lilikumbwa na mgogoro mkubwa wa fueli kiasi cha kulazimika kununua nishati hiyo kutoka India ambayo nayo inanunua mafuta kutoka Iran

My take:NAONA KIMEANZA KUNUKA....IRAN VS SAUDIA
Fake news.. Hakuna taarifa hizi popote..
 
arsenal,man u,liver,mancity,zote timu za uingereza,inakuwaje sisi huku,tunachagua timu wakati hazituhusu?
Mkuu, mpira ni burudani na mpira ndio mchezo unao sadikiwa kua na mashabiki wengi Zaidi duniani kuliko michezo mingine, sasa vita na ushabiki wapi na wapi? Tena hao maadui kwa kwetu huku bongo, mimi naona wote wanafanana sana, yaani wote ni waislamu, wote ni waarabu na inasadikiwa mataifa yao hao wote wana sehemu zinazo itwa TAKATIFU, so kwanini Wabongo wa hapa tuwe na upande kwa hilo!?
 
Iran sio waarabu
Ni kweli kihistoria, Iran na Iraq sio Waarabu but tunaweza kusema hivyo hadi leo? Anyway, wawe Waarabu au laa but still Iran na Saudia wana vingi wanavyo share, mfano dini, utamaduni nk; sisi wa huku boingo tunaingiaje kua na upande? Nilidhani kwa Waislamu wote hawa wangewaunga mkno na Wakristo wote hawa kwao wangewaona ni wamoja so concern yangu ndio hiyo, wabongo tumeingieja hapo hata kua na mashabiki kwenye hizo pande 2?
 
Back
Top Bottom