Mlipuko wa ugonjwa wa uti wa mgongo waua 120 DRC

Ni kwamba DR Congo imegeuzwa maabara walitaka na tanzania tuwe km kongo shukrani kwa hayati magufuli
Mkuu umeongea point sana. Comment nzuri sana. Tatizo kubwa la muafrika ni matumizi mabaya ya nguvu. Badala kutumia nguvu kupambana na maadui( mabeberu) anatumia nguvu nyingi kupambana na mwafrika mwenzake
 
Back
Top Bottom