Mlipuko wa mabomu umepita sasa tujiandae na mlipuko wa ulaji wa fidia kwa wahanga!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mlipuko wa mabomu umepita sasa tujiandae na mlipuko wa ulaji wa fidia kwa wahanga!!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Gosbertgoodluck, Feb 18, 2011.

 1. Gosbertgoodluck

  Gosbertgoodluck JF-Expert Member

  #1
  Feb 18, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 2,866
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 0
  Kama kawaida ya waTZ tukio la mlipuko wa mabomu Gongolamboto lazima liende sambamba na ulaji kwa wakubwa. Waswahili wanasema 'kufa kufaana'. Kinachofanyika sasa, 'wazee wa kazi' wanajipanga namna watakavyotafuna hela za fidia na misaada kutoka kwa wahisani wa ndani na nje ya nchi watakaojitokeza. Hiyo ndiyo bongo bwana, wakati wengine wanalia kwa uchungu wa kuondokewa na ndugu na jamaa zao wengine wanaandaa meno ya kutafunia fidia.
   
 2. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #2
  Feb 18, 2011
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  na habari ndio hiyo......
   
Loading...