Polen sana wapendwa walioathirika na mabomu yawezekana hamkuwa wahusika wakuu kwa bahati mbaya imetokea upande wa kwenu...mungu awape rehema zake wote walifariki.....je kuna sala za deci???
Ama kweli Pdidy, yaani unafikiria hela za wauza vitumbua na mama Ntilie, walahoi kabisa walioweka 10,000= ili wapate faida 12,500/= !!!!!! badala ya kufikiria fedha waliochukua fedha za wananchi za EPA (MAPAPA wakubwa????) au wewe ni mmoja wa hao?
Hapa hakuna laana. Ni uwoga wa Serikali zetu wa kupinduliwa.
Toka 1961, wanajeshi walianza kusambazwa kila kona ili isitokee kambi yo yote yenye nguvu ya kuweza kupindua serikali, kama ilivyotaka kujitokeza wakati ule. Wamefika mpaka kuishi uraiani. Wakati wa chama kimoja, siasa ikaingizwa majeshini, paka tukafikishwa mahali wakatengewa mkoa usio na ardhi, waliouita MKOA WA MAJESHI ndani ya CCM. Matokeo yaje, vitendea kazi vyao (yakiwemo mabomu na silaha nyinginezo) vimewafuata huko huko uraiani wanakoishi. Mfano mmoja mzuri ni range ya kujifunzia kupiga shabaha kule Mbezi Beach; imezungukwa na nyumba za raia.
Polisi ndio usiseme. Wengi wao wanaishi kama wapangaji katika nyumba za raia. Matokeo yake, vibaka, wapika gongo na wengineo wanaokamatwa na askari hao, hupata zahma hizo kutokana na Polisi hao kunyimwa huduma na raia hao kwa sababu yo yote unayoweza kufikiria.
Haya yote yamezaa madhara kama ya jana. Sasa laana tunataka itoke DEci?! Ni matokeo ya upuuzi wa kutotenganisha raia na askari kama jumuiya nyingine za kimataifa zinavyofanya. Ni uzembe wa serikali na sisi raia kwa kutokemea tabia hii.
2009-04-30 12:52:08
By Correspondent Sabato Kasika
Retired engineer and explosives expert Nebetus Nyamuga has said that the accidental blasts which occurred yesterday at a military base on the outskirts of Dar es Salaam were caused by dangerous trail bombs used in shooting down aircraft.
``These are most dangerous arms which are used to blow up speeding aircraft,`` Nyamuga said in an interview with `The Guardian`.
``These kinds of bombs do explode 15 years after their manufacture and some do explode earlier if they are not properly stored,`` he added.
According to the expert, trail bombs can only be safely destroyed in a place far from the armoury.
When asked about the standard safe distance between residential areas and military barracks, the expert explained: ``Residential houses should ideally be located five kilometres from an army base.``
He said what happened at Mbagala yesterday was caused by greedy and corrupt land officials who alloted residential plots near a military base.
``This is the second incident after a similar one which happened at Gongolamboto a few years ago. At that time we advised the government to move all the people far from the military base, but nothing has been done up to now,`` he said.
Nyamuga said, alternatively the government had to move the military base from residential areas.
He urged land officers not to survey residential plots near military barracks or bases to avert such occurrences.
Yesterday morning bomb blasts killed at least two people, leaving hundreds others injured, in Dar es Salaam.
Special Zone police commander Selemani Kova ruled out any foul play in the incident, which also damaged a number of houses.
``We urge people not to go to the scene of the explosives. It is very dangerous,`` said Kova, adding: ``Right now we are trying to rescue people who have been injured.``
Witnesses said they saw several seriously wounded people lying on the ground. Local television footage showed a cloud of thick smoke over the base.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.