Mlipuko wa Bomu Arusha: Watu watatu wafuatao ni lazima wahojiwe kwa sababu zifuatazo...

Exaud Mamuya

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
403
242
1. Mwigulu Nchemba
Kiongozi huyu wa CCM amekuwa akitoa kauli zenye utata hapa jijini Arusha pamoja na kwenye mitandao ya kijamii ambazo moja kwa moja zinapelekea kuhisi kiongozi huyu anafamu moja kwa moja kilichojificha nyuma ya pazia kwenye urushaji huu wa bomu uliopelekea kuua watu na kujeruhi watu zaidi ya 70.

2. Mtela Mwampamba
Kada huyu wa CCM amekuwa akisema katika mikutano ya hadhara ya CCM pamoja na kuandika katika mitandao ya kijamii especially hapa Jamii Forum na Facebook ya kwamba anawafahamu wanaofanya mambo haya ya kigaidi na yeye amewahi kushiriki kufanya ugaidi huu kipindi alipokuwa mwanachama wa CHADEMA. Sasa ni vizuri akalisaidia jeshi la polisi kuonyesha alivyokuwa anafanya ugaidi huu alipokuwa CHADEMA.

3. Gasper Kishumbua
Huyu ni kiongozi wa CCM wilaya ya Arusha mjini ambaye kutokana na mashuhuda wa tukio la mlipuko wa bomu jana ni kwamba alikuwa upande wa bomu lilipotokea na baada ya mlipuko akaanza kupiga kelele na kusema pilisi wameamua kuua watu bila hatia.

Wana Arusha tunaliomba jeshi la polisi kuwahoji watu hawa na hakika watapata ukweli na sababu ya mlipuko wa bomu kwenye mkutano wa CHADEMA na kupelekea mauaji ya binadamu wasiokuwa na hatia.

Mungu ibariki Tanzania.
 
Naamini wale wanaohusika wamo humu wanafuatilia kila kitu kinacho post iwa humu, maana JF nayo ni chanzo cha taarifa.
 
Looh ivo mara hii hamkuwataja waarabu kuwa walihusika ? ajabu eti waalabu hawamo mmmh ! imposibo...
 
Haya ndio yale maagizo ya kutoka kwa Josephine? Naona jana alimtuma kijana wake Ben akwambie uwasiliane nae
 
"3.Gasper Kishumbua
Huyu ni kiongozi wa CCM wilaya ya Arusha mjini ambaye kutokana na mashuhuda wa tukio la mlipuko wa bomu jana ni kwamba alikuwa upande wa bomu lilipotokea na baada ya mlipuko akaanza kupiga kelele na kusema pilisi wameamua kuua watu bila hatia."

Tunataka wana CCM wabadilike wawe hivi, tukomboe nchi yetu!
 
1.Mwigulu Nchemba
Kiongozi huyu wa CCM amekuwa akitoa kauli zenye utata hapa jijini Arusha pamoja na kwenye mitandao ya kijamii ambazo moja kwa moja zinapelekea kuhisi kiongozi huyu anafamu moja kwa moja kilichojificha nyuma ya pazia kwenye urushaji huu wa bomu uliopelekea kuua watu na kujeruhi watu zaidi ya 70.

2.Mtela Mwampamba
Kada huyu wa CCM amekuwa akisema katika mikutano ya hadhara ya ccm pamoja na kuandika katika mitandao ya kijamii especially hapa Jamii Forum na Facebook ya kwamba anawafahamu wanaofanya mambo haya ya kigaidi na yeye amewahi kushiriki kufanya ugaidi huu kipindi alipokuwa mwanachama wa Chadema. Sasa ni vizuri akalisaidia jeshi la polisi kuonyesha alivyokuwa anafanya ugaidi huu alipokuwa Chadema.

3.Gasper Kishumbua
Huyu ni kiongozi wa CCM wilaya ya Arusha mjini ambaye kutokana na mashuhuda wa tukio la mlipuko wa bomu jana ni kwamba alikuwa upande wa bomu lilipotokea na baada ya mlipuko akaanza kupiga kelele na kusema pilisi wameamua kuua watu bila hatia.

Wana Arusha tunaliomba jeshi la polisi kuwahoji watu hawa na hakika watapata ukweli na sababu ya mlipuko wa bomu kwenye mkutano wa Chadema na kupelekea mauaji ya binadamu wasiokuwa na hatia.

Mungu ibariki Tanzania.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Ongeza Lema na Mbowe nao wahojiwe wanaweza fanya janja kama ya yule Sheikh Farid wa Uamsho kwa kujiteka,na chadema nao wanaweza fanya kama hiyo janja ya nyani! Kuwahoji ni mhimu
 
Huu mpango wote umefanyika ili kufanikisha safari ya Slaa, ndio njia pekee itakao wafanya wazungu wamchangie hela. Bila shaka amesha copy picha kutoka JF na kuzunguka nazo mfukoni.
 
cjui kazi ya jeshi la polisi la tanzania ni nini, mwenye kujua anijuze
 
Haya ndio yale maagizo ya kutoka kwa Josephine? Naona jana alimtuma kijana wake Ben akwambie uwasiliane nae

Lema,Benson Kigaila,Mbowe lazima wahojiwe pia,nina mashaka wanaweza fanya kama ujanja wa Kiongozi wa Uamsho Zanzibar
 
Ilitangazwa kuwa chama cha CHADEMA ni chama cha kasikazini,kigaidi,kidini na viongozi wake ni viongozi wa dini moja.Kilichotokea ni kuuawa kwa bomu kwa waumini wa dini tunayotangaziwa na chama tawala kuwa ndio wenye chama na kanisa hilo liko kwenye kanda hiyohiyo ambako tunaaminishwa kuwa ndio wenye chama na kiongozi mmoja Dr Slaa alikuwa padri wa dini hiyo kabla ya kuachana na upadri na kujiingiza kwenye siasa.Tukiwa bado tuko kwenye majonzi ya kuwasikitikia ndugu zetu waliyopoteza maisha kwenye mulipuko huo.Zikaanza kampeni za udiwani Mh MWIGULU NCHEMBA akaanza kuwanadi wagombea wa chama chake kwa kumtumia kijana mmoja aliyemwagiwa tindikali huku akiwaaminisha wananchi kuwa waliyofanya hivyo ni CHADEMA na kupandikiza chuki kwa wananchi ili wakione CHADEMA ni chama cha kigaidi,kidini,kikabila na cha mauaji.Hata pale ambapo mauaji yamefanywa na polisi na kila mtu anajuwa kuwa waliyouwa ni polisi na hata polisi wenyewe wanajuwa kuwa waliyouwa ni wao lakini ukweli umekuwa ukipotoswa ili ionekane kuwa waliyouwa ni CHADEMA.Baada ya Mwigulu kuzunguka na mtu huyo aliye jeruhiwa kwa tindikali na kuwajengea chuki wananchi ili waione CHADEMA ndiyo iliyofanya hivyo kilichotokea ni kulipuliwa kwa mkutano wa CHADEMA na wanachama wake kuuawa na wengine kujeruhiwa.Kwa kutumia siasa hizi za MWIGULU NCHEMBA,CHADEMA nao wakaamuwa kutumia msema ule wa waziri mkuu wa liwalo na liwe wakaamuwa kujitwisha maiti za wanachama wao na wanachama wao waliyojeruhiwa wakautangazia uma kuwa waliyofanya hivyo ni CCM wawe wamefanya au hawakufanya wakatumia njia zilezile zilizotumika kuichafua CHADEMA kwenye vyombo vya habari,mitandao ya kijamii na kwenye majukwaa.Je ni kitu gani kitatoke?.Niwape pole tu wanaCHADEMA kwa kipindi hiki kigum walicho nacho maumivu ya Lwakatare hayajaisha watanzania na pengine wanachama wao wameuawa na kujeruhiwa.
 
Haya ndio yale maagizo ya kutoka kwa Josephine? Naona jana alimtuma kijana wake Ben akwambie uwasiliane nae

wew mpuuzi kweli,kwenye masuala ya maisha ya bnadamu unaleta upuuzi wako,hivi huwa hamjisikii kumtaja Dr Slaa au mtu wake wa karibu? Umemtumwa mpuuzi wewe
 
Huu mpango wote umefanyika ili kufanikisha safari ya Slaa, ndio njia pekee itakao wafanya wazungu wamchangie hela. Bila shaka amesha copy picha kutoka JF na kuzunguka nazo mfukoni.
Wakati mwingine ni vizuri kutumia akili kidogo tu hata ile inayokuonyesha kuwa hiko ni choo na pale ni chumbani. Wewe unawafanya wote wapenda
CCM muonekane jinsi mlivyo na akili ndogo.
 
Pia exaud mamuya akamatwe na kuhojiwa mana ana taarifa nyingi kuhusu hili tukio pamoja na zile za pm 7
 
1.Mwigulu Nchemba
Kiongozi huyu wa CCM amekuwa akitoa kauli zenye utata hapa jijini Arusha pamoja na kwenye mitandao ya kijamii ambazo moja kwa moja zinapelekea kuhisi kiongozi huyu anafamu moja kwa moja kilichojificha nyuma ya pazia kwenye urushaji huu wa bomu uliopelekea kuua watu na kujeruhi watu zaidi ya 70.

2.Mtela Mwampamba
Kada huyu wa CCM amekuwa akisema katika mikutano ya hadhara ya ccm pamoja na kuandika katika mitandao ya kijamii especially hapa Jamii Forum na Facebook ya kwamba anawafahamu wanaofanya mambo haya ya kigaidi na yeye amewahi kushiriki kufanya ugaidi huu kipindi alipokuwa mwanachama wa Chadema. Sasa ni vizuri akalisaidia jeshi la polisi kuonyesha alivyokuwa anafanya ugaidi huu alipokuwa Chadema.

3.Gasper Kishumbua
Huyu ni kiongozi wa CCM wilaya ya Arusha mjini ambaye kutokana na mashuhuda wa tukio la mlipuko wa bomu jana ni kwamba alikuwa upande wa bomu lilipotokea na baada ya mlipuko akaanza kupiga kelele na kusema pilisi wameamua kuua watu bila hatia.

Wana Arusha tunaliomba jeshi la polisi kuwahoji watu hawa na hakika watapata ukweli na sababu ya mlipuko wa bomu kwenye mkutano wa Chadema na kupelekea mauaji ya binadamu wasiokuwa na hatia.

Mungu ibariki Tanzania.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Mkuu unayoyasema yatakuwa vigumu sana kutendeka kwenye hii nchi yetu ya kusadikika.

Vyombo vyote vya dola pamoja na ccm vinahusika 100%, huo ulikuwa mpango mzima wa kuvuruga uchaguzi wa madiwani wa Arusha usifanyike baada ya kuonekana ccm wanakwenda na maji. Wanakumbuka jinsi walivyoumbuka waliporuhusu uchaguzi wa Mbunge uendelee kati ya Nassari na Sioi Sumari, wakaondoka usiku wa manane na kumtelekeza mgombea wa ccm peke yake akisubiri kutangazwa matokeo rasmi!

Wameshafanya mauaji ya namna hiyo mara nyingi na mpaka leo hakuna aliyehojiwa wala kuchukuliwa hatua. Jiulize aliyemuua mwandishi wa habari Mwangosi kwenye mkutano wa CDM Iringa alikuwa policcm. Kesi imezungushwa na mpaka leo hatujui hatima yake. Na mashahidi wapo kibao, mpaka OCD alikuwepo wakati wa tukio. Kuna picha mpaka za video. Je ni kipi kinachochelewesha mpaka leo hii kujua hatma ya kesi ile?

Hii kesi ya ngedere kula mahindi huwezi kuipeleka kwa nyani. Kesi ya ccm na serikali yao ya kidhalimu waamuzi ni wananchi tu!
 
Huu mpango wote umefanyika ili kufanikisha safari ya Slaa, ndio njia pekee itakao wafanya wazungu wamchangie hela. Bila shaka amesha copy picha kutoka JF na kuzunguka nazo mfukoni.

umetoroka hospitali maalumu huko Dodoma,hujielewi
 
majebere ngugu yangu hv kweli unafikilia au unaamua kusema tuu eti kwasababu ww bado unapumua? au kwasababu inawezekana kati ya walio jeruhiwa au kufa hayumo ndugu yako? haya bwana lakn ujue mungu yupo
 
Back
Top Bottom