Mlipuko wa Bomu Arusha: Watu watatu wafuatao ni lazima wahojiwe kwa sababu zifuatazo...

Daktari Slaa [Mpora Wake wa watu na mchukua pesa za chama kwa njia ya kujikopesha] aliwahi kusema zaidi ya mara moja kwamba CDM watahakikisha Nchi hii haitawaliki nadhani na yeye awe miongoni mwa watu wanaopaswa kuhojiwa.
 
watoto wa nini kwenye mikutano ya chadema ambayo mara nyingi huishia na fujo?

ndiyo ujue sasa chadema ni mkombozi wa mtanzania na mpango wa mungu mpaka watoto wadogo wanashindwa kuzuia mapenzi yao kwa chadema.

Chama cha mauaji (ccm) must stop killing innocent children of Tanzania , zama zake zimeshaisha.
 
Back
Top Bottom