Mlipuko wa Bomu Arusha: Watu watatu wafuatao ni lazima wahojiwe kwa sababu zifuatazo...

CCM kwa nini wanakuwa wanyama hivi? Kwa nini wanataka kung'ang'ania madarakani wakati wananchi hawawataki? Kuua raia wasio na hatia sio suluhuhisho. Hakika mwisho wenu utakuwa mbaya sana!
 
Acheni ushabiki wa kijinga, hii hali sio ya kushabikia ni hatari kwa mustakabali wa taifa letu. Mauji haya ya watanzania wenzetu ni kitu kibaya sana katika maisha yetu kama watanzania. Kama siasa zimetushinda vyama vyote vifutwe jeshi liingie kazini tuanze upya. Inasikitisha sana kwa kweli.
 
Huu mpango wote umefanyika ili kufanikisha safari ya Slaa, ndio njia pekee itakao wafanya wazungu wamchangie hela. Bila shaka amesha copy picha kutoka JF na kuzunguka nazo mfukoni.

ni bora kuwa maskini wa kipato ilihali ni tajiri wa fikra na akili kuliko kuwa mtumwa wa watu!
 
Pia exaud mamuya akamatwe na kuhojiwa mana ana taarifa nyingi kuhusu hili tukio pamoja na zile za pm 7

kwa nini usikamatwe ww usaidie kwenye ushahidi? Nimegundua wachangiaji wengi hasa wa ccm hawana hekima kabisa, wanataka kuchomokea mambo mengi ili maana ya thread ipotee, na wengine ni usalama ccm wanatafuta pa kuanzia kusema uongo ili wakapandishwe vyeo Kama kina kofta
 
Huu mpango wote umefanyika ili kufanikisha safari ya Slaa, ndio njia pekee itakao wafanya wazungu wamchangie hela. Bila shaka amesha copy picha kutoka JF na kuzunguka nazo mfukoni.

Nonsense ideas!
 
Haya ndio yale maagizo ya kutoka kwa Josephine? Naona jana alimtuma kijana wake Ben akwambie uwasiliane nae
UZURI uwezi kuwabadilisha WAUAJI kuwa si WAUAJI.Watu wamekufa unaleta UMALAYA WAKO HAPA.Kwa hiki ulichoposti hapa naamini CCM ni wausika wakuu wa jambo hili.Endeleeni kuwatuma watu kulipua na kuua na hamtafanya uchunguzi wa maana kwa sababu MUNGU anawasuta wachunguzi katika nafsi zao wausika ni ninyi mnachunguza nini?.Tumefikia hapa Mtanzania unatumwa kuua Mtanzania mwenzio na unaua.OK,ILA JUENI HII mbegu Mnapanda itaota,itakuwa,itakomaa wakati wa MAVUNO tusikimbiane.Kama mnavyowatuma watu kuua hivyo hivyo Atatokea mtu atawaambia twendeni MSITUNI wataenda si kwakupenda ila MAVUNO ya hizi MBEGU ZENU YAVUNWE.KILA TENDO UFANYALO LEO NI MBEGU UJUE KESHO UTAVUNA.mbegu ya DAMU nyingi mshazipanda kwenye ardhi yetu tunasubiri mavuno.MNAPANDA DAMU MTAVUNA DAMU.Nawaonya kwa Jina LA MUNGU ALIYE HAI MUUMBA WA MBINGU NA ARDHI DHAMBI HII MSIPOTUBU NA KUIACHA YATATOKEA MAUAJI TANZANIA AMBAYO HAYATAFANANISHWA NA CONGO,BURUNDI WALA RWANDA.(Mithali 12:14.Mtu atashiba mema kwa matunda ya kinywa chake;Na mwanadamu atarudishiwa MATENDO YA MIKONO YAKE)Na NENO la MUNGU lazima litimie.
 
Kwa hali ilijitokeza hivi sasa vyombo vya usalama vinatakiwa kuwa makini unaweza ukatokea mulipuko mwingine kwenye mikutano ya CCM kwa ajili ya kubalance mambo.
 
Huu mpango wote umefanyika ili kufanikisha safari ya Slaa, ndio njia pekee itakao wafanya wazungu wamchangie hela. Bila shaka amesha copy picha kutoka JF na kuzunguka nazo mfukoni.

Wangekuwa ndugu zako wamefikwa an mauti ungefikiri kabla ya kuropoka..... Mfyuuuuuuu
 
ccm wameshakufa tayari tunasubiri maziko 2015 ccm wanazidi kujivuruga .
 
Huu mpango wote umefanyika ili kufanikisha safari ya Slaa, ndio njia pekee itakao wafanya wazungu wamchangie hela. Bila shaka amesha copy picha kutoka JF na kuzunguka nazo mfukoni.
Kama ni kweli kwamba CHADEMA wanaua raia kwa ajili ya kujijenga kisiasa na serikali imeshindwa kuwakamata wahusika, basi ni dhahiri kwamba nchi haina amiri jeshi mkuu mwenye uwezo. Na kwa hakika itabidi tutilie mashaka uwezo wa huyo amiri jeshi mkuu mwenye majeshi yote ya ulinzi na usalama halafu hana uwezo wa kuzuia mauaji yanayofanywa na CHADEMA ambao hawana hata mgambo tu.
 
"DAMU YA WATANZANIA NI NZITO KULIKO ccm " MFUGA NDEVU MWIGULU NCHEMBA ANAHUSIKA MOJA KWA MOJA KURATIBU UGAIDI TANZANIA NA UGAIDI WAKE SIJUI TUUITAJE? MAANA WA MWAKA 1998 WA OSAMA BIN LADEN NA WA MWAKA2013 NI WA NCHEMBA
 
Looh ivo mara hii hamkuwataja waarabu kuwa walihusika ? ajabu eti waalabu hawamo mmmh ! imposibo...

Mkuu mbona umekomalia swala la Waarabu, au Waarabu ni baba zako?, mbona Waarabu ni magaidi wanajlikana dunia nzima!!!!
 
1. Mwigulu Nchemba
Kiongozi huyu wa CCM amekuwa akitoa kauli zenye utata hapa jijini Arusha pamoja na kwenye mitandao ya kijamii ambazo moja kwa moja zinapelekea kuhisi kiongozi huyu anafamu moja kwa moja kilichojificha nyuma ya pazia kwenye urushaji huu wa bomu uliopelekea kuua watu na kujeruhi watu zaidi ya 70.

2. Mtela Mwampamba
Kada huyu wa CCM amekuwa akisema katika mikutano ya hadhara ya CCM pamoja na kuandika katika mitandao ya kijamii especially hapa Jamii Forum na Facebook ya kwamba anawafahamu wanaofanya mambo haya ya kigaidi na yeye amewahi kushiriki kufanya ugaidi huu kipindi alipokuwa mwanachama wa CHADEMA. Sasa ni vizuri akalisaidia jeshi la polisi kuonyesha alivyokuwa anafanya ugaidi huu alipokuwa CHADEMA.

3. Gasper Kishumbua
Huyu ni kiongozi wa CCM wilaya ya Arusha mjini ambaye kutokana na mashuhuda wa tukio la mlipuko wa bomu jana ni kwamba alikuwa upande wa bomu lilipotokea na baada ya mlipuko akaanza kupiga kelele na kusema pilisi wameamua kuua watu bila hatia.

Wana Arusha tunaliomba jeshi la polisi kuwahoji watu hawa na hakika watapata ukweli na sababu ya mlipuko wa bomu kwenye mkutano wa CHADEMA na kupelekea mauaji ya binadamu wasiokuwa na hatia.

Mungu ibariki Tanzania.

No sensi ........ na kama wewe ungekuwa RCO Arusha basi ungekuwa huna kazi leo, kwa kutumia dhana kuliko facts ku solve problems. Utakuja kushangaa tutakapopata majibu kutoka Forensics Lab kuwa mabaki ya explosive devicve yana finger prints za Mbowe na Nasari
 
1. Mwigulu Nchemba
Kiongozi huyu wa CCM amekuwa akitoa kauli zenye utata hapa jijini Arusha pamoja na kwenye mitandao ya kijamii ambazo moja kwa moja zinapelekea kuhisi kiongozi huyu anafamu moja kwa moja kilichojificha nyuma ya pazia kwenye urushaji huu wa bomu uliopelekea kuua watu na kujeruhi watu zaidi ya 70.

2. Mtela Mwampamba
Kada huyu wa CCM amekuwa akisema katika mikutano ya hadhara ya CCM pamoja na kuandika katika mitandao ya kijamii especially hapa Jamii Forum na Facebook ya kwamba anawafahamu wanaofanya mambo haya ya kigaidi na yeye amewahi kushiriki kufanya ugaidi huu kipindi alipokuwa mwanachama wa CHADEMA. Sasa ni vizuri akalisaidia jeshi la polisi kuonyesha alivyokuwa anafanya ugaidi huu alipokuwa CHADEMA.

3. Gasper Kishumbua
Huyu ni kiongozi wa CCM wilaya ya Arusha mjini ambaye kutokana na mashuhuda wa tukio la mlipuko wa bomu jana ni kwamba alikuwa upande wa bomu lilipotokea na baada ya mlipuko akaanza kupiga kelele na kusema pilisi wameamua kuua watu bila hatia.

Wana Arusha tunaliomba jeshi la polisi kuwahoji watu hawa na hakika watapata ukweli na sababu ya mlipuko wa bomu kwenye mkutano wa CHADEMA na kupelekea mauaji ya binadamu wasiokuwa na hatia.

Mungu ibariki Tanzania.

Wa nne ni Lemma
WA tano ni Nasari
 
Back
Top Bottom