fred mswelo
New Member
- Jun 13, 2013
- 1
- 0
mlipuko wa bomu la kutupwa kwa mkono umetokea mara baada ya kumalizika kwa hotuba ya mh freeman mbowe viwanja vya soweto
Najua una hasira ndo maana unaongea point na pumba humo humo. Police imempa hifadhi mtuhumiwa kwa maana hiyo ni kweli watakuja na taarifa ya kutokumkamata mtuhumiwa..!mara baada ya mlipuko mshukiwa alipandishwa kwenye gari la polisi na aliokolewa kwa kutumia mabomu ya machozi.
Polisi wasije na taarifa ya kutokamata mtuhumiwa ,wakifanya hivyo watathibitisha ushiriki wao katika mauaji haya.