Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

Status
Not open for further replies.
Eee Mungu, tuepushe na mabaya haya. Mungu washushie uponyaji wote waliopatwa na majeraha.
 
bongo noma yan hakuna ata TV station moja inayo weza kuonesha live ishu inayo endelea Arusha.


Ndio maana jf hipo ni zaidi ya hizo television. kwa hiyo usijali habari zote tunapata live bila chenga.
 
Pamoja na kuwa mpenda amani na sera za ukombozi wa Mtanzania simuungi mkono Lema. Ni mapema sana kuhusisha chama chochote na mlipuko wa leo. Naomba nieleweke tu kuwa naye leo kapotoka!
 
Lema ni janga la taifa.
Hhana busara hata kidogo, anapenda misifa kama mtoto wa shule za chekechea.
Nilijua tu ataongea pumba na kutafuta sifa.
Na inawezekana hata akawa anajua mengi na huo mlipuko kwa sababu kwa nini atumie hiyo nafasi kuanza kuongelea kukamatwa kwake?

kwani shehe Ilunga si ana kadi ya CCM, au?
 
nimesikitishwa na yaliyotokea Arusha' kwanini Polis hawakuwa na taarifa za kiintelijensia kuhusiana na tukio lile?! Mbona kwenye mikutano ya Chadema wanatuambiaga mikutano haiwezi kufanyika kwa sababu kuna taarifa za vurugu?!
 
Serikali iliyoongoza nchi kwa majini na uchawi wa yule mnajimu RIP inaendelea kutumia majini kuangamiza watu. Hakuna malaika wa Mungu anayeuwa au kushambulia watu wa Mungu na nyumba za Mungu. Majini, yaliyopandikizwa kwa baadhi ya Watz. ndiyo yanayofanya kazi ya kuangamiza. Sasa mambo yanaanza kuwa hadharani. KIKWETE ndiye mdini aliyepandikiza ushetani ndani ya watu wake ili kujikita madarakani. Mwisho umefika na kila kitu kinaonekana sasa, hamna giza tena.
 
Niwape pole wale ambao imewagusa na watanzania wenzangu wote kwa ujumla kwani tunajua kwamba vikwazo vipo ila ole wake avisabishae na niwaombe tu msichanganye tukio hili na mambo ya ccm na chadema kwani walioumia ni watanzania
 
Tupate kutafakari zaidi mawazo, matendo na maneno yetu, je kila moja, ninapoamka na kuanza kujumuika na wenzangu online au kimawazo au kimatendo, kuna kimoja kinachangia hasira na ujinga huu? Ww kiongozi, ww mshabiki, unachochea moto au unauzima?
 
BAADA YA KUJA UISLAM NA UKRISTO -- SIKU HIZI HAKUNA : wapare, wamakua, wahaya, wasukuma nk. - - - NA VIPI UKIJA KUSIKIA KWAMBA CHANZO CHA MLIPUKO NI HITILAFU TU YA UMEME? ..... #MDINI - Ni yule anayeanza kuuzungumzia.... shame on You
UMEME??? Shame on you too!
 
huu sio wakati wa kumtukana Lema
ameonyesha hisia zake
ungefika eneo la tukio na wewe ungeshikwa na jazba zaidi
kwa vile unakula mikate huko UK na bugger huji hali ikoje happo Olasiti zaidi ya kutumika
kama debe tupu.
kwani walioeneza proganda kuwa chadema ni chama cha kikatoliki na chama cha kikanda ni watu gani????
huwajui?? kwanini haya hayakuepo enzi za Mkapa,Mwingi na Nyerere?
kwanini wametarget Arusha? katika jimbo la lema? katika kanisa katoliki??
tusubiri polisi watupe majibu

Lema ni janga la taifa.
Hhana busara hata kidogo, anapenda misifa kama mtoto wa shule za chekechea.
Nilijua tu ataongea pumba na kutafuta sifa.
Na inawezekana hata akawa anajua mengi na huo mlipuko kwa sababu kwa nini atumie hiyo nafasi kuanza kuongelea kukamatwa kwake?
 
Poleni sana wana Arusha, Watanzania wapenda amani na wakatoliki wote nchini.
 
Lema ni janga la taifa.
Hhana busara hata kidogo, anapenda misifa kama mtoto wa shule za chekechea.
Nilijua tu ataongea pumba na kutafuta sifa.
Na inawezekana hata akawa anajua mengi na huo mlipuko kwa sababu kwa nini atumie hiyo nafasi kuanza kuongelea kukamatwa kwake?


Amesema hii ni muendelezo wa siasa zenu za udini. Kwani ni uongo na ushahidi anao. Kesho anaenda kuuwasilisha pale mjengoni.

Dentists wa tembo wote mtaweka vichwa chini.
 
ni miongoni mwa wale walo muuwa mushi na kufanya hujuma hizi kisiasa kule zanzibar na kuviita vitendo vya kigaidi,sasa wataleta FBI arusha, kiufupi tizameni jinsi mkowa wa arusha ulivyo kuwa na vugu vugu ya kisiasa sasa wanataka kugeuza kibao watu waanze kushughulishwa ili ccm wajipange kiuchaguzi

mimi siamini ya kuwa waisilamu wa tanzania wakaripuwe kanisa au kutega bomu hili haliingii akilkini sababu waisilamu na wakristu wanakaa sokoni pamoja wanacheka na kufurahi pamoja viwanja vya mpira baa na kila sehemu yenye mchangavyiko wa watuuuu WATU WAWE MAKINI

AKILI INAHITAJIKA
 
Status
Not open for further replies.
16 Reactions
Reply
Back
Top Bottom