Fbi si wapo hapo arusha kufuatilia money laundry,pengine watasaidia hapo.Yeah! kuna uwezekano huo -- maana under CCM kila kitu kinawezekana! Si kuna chaguzi za u8iwani wa kata nne ambazo CCM watazipoteza kwa kishindo.
Hivyo mtasikia chaguzi zimeahirishwa na FBi wataitwa kuchora mtuhumiwa na mchoro utakaochorwa utakuwa ni wa yule hasimu mkubwa wa CCM hapo Arusha - you know whom!
Kuna watu watatokwa povu kwa kauli yako, lkn ukweli ndio huo Raisi dhaifu kuliko wote duniani ndiye katufikisha hapa!!
Yuko bize na kuwatumia amashushu kwenye mambo ya kijinga kama vili kumfuatilia Dr Slaa toka Iringa ha DSM, Huku magaidi wa kweli wakijiimarisha!!!
watu wawili waliovalia kanzu walishuka kwenye gari na kurusha bomu na kukimbia na gari
''Tukiweka kando suala la Lwakatare, wakati ninafahamu kwa nini polisi wamemkamata kiongozi huyo wa CHADEMA, ninashindwa kabisa kuelewa kwa nini kanda kadhaa za video zilizozagaa huko YouTube zilizorekodiwa hadharani zikimwonyesha Ustaadh Ilunga akihamasisha mauaji ya maaskofu, mapadre na walei wa Kikristo hazijawafanya polisi wamkamate''.
na pia fbi wapo arusha kuchunguza fedha chafu kuna watu walikuja walikua wawevaa kanzu wakashuka na kurusha bomu
Kwanini usilizuie wakati linarushwaaa? Umeliona?
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums