Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

Status
Not open for further replies.
Kazi ipo, tutachonganishwa hadi basi.
Afu Arusha again?

Wait! Afu Lema alisema majuzi tu bungeni? Justification imekuja leo tena hukohuko kwake? Daym it, my evil mind! I smell a rat.
 
Hali inakuwa tete katika nchi yetu Kanisani Parokia ya Urafiki kumetokea mlipuko haijajulikana kama ni bomu au la ila watu wamejruhiwa inasikitisha.Source: Radio Maria

Damn! Ndo Kikwete keshatufikisha hapa?
 
Sijui Taifa linaelekea wapi na Watanzania tumeamua kupoteza ile hali ya Amani na Utulivu.
Why ni Makanisani tu hasa Kanisa Katoliki??
 
sasa wewe mchami kama upo hapo unasikiliza radio maria si uendelee kutupa coverage ya tukio hilo..
mkuu wanao tangaza wenyewe wanakataa kulizungumzia hili wanasema wao hawana taaluma ya kuwawezesha kuliongelea!wanawaachia wana usalama!
 
Hata mimi nasikia ila hawajajua ni nini. Ni mbinu za ccm kuzuia mikutano

Yeah! kuna uwezekano huo -- maana under CCM kila kitu kinawezekana! Si kuna chaguzi za u8iwani wa kata nne ambazo CCM watazipoteza kwa kishindo.

Hivyo mtasikia chaguzi zimeahirishwa na FBi wataitwa kuchora mtuhumiwa na mchoro utakaochorwa utakuwa ni wa yule hasimu mkubwa wa CCM hapo Arusha - you know whom!
 
Mungu tunusuru na huu ugaidi na udhalimu wa ccm na vikundi vyao vya kufifisha ukombozi wa kweli kwa kuutisha ukristo na waumini wake!
 
Damn! Ndo Kikwete keshatufikisha hapa?

Kuna watu watatokwa povu kwa kauli yako, lkn ukweli ndio huo Raisi dhaifu kuliko wote duniani ndiye katufikisha hapa!!
Yuko bize na kuwatumia amashushu kwenye mambo ya kijinga kama vili kumfuatilia Dr Slaa toka Iringa ha DSM, Huku magaidi wa kweli wakijiimarisha!!!
 
Tafadhali picha mliopo
pia Mods unganisheni thread hizi mbili
Tufuatilie kwa urahisi.


Nchi hii inakwenda wapi jamani
ndiyo hatuna amani tena hivi
tutafika 2015 kwa hali kama hii ilivyomnaya
sana.


Tuseme Ndovu nao issue yao Bungeni
inafutwa na Mlipuko wa Bomu Kanisani

Lema aliona mbali sana aliposema udini
pale Bungeni.
 
Tuache mautani jamani roho za watu hizo ngoja tujulishwe na uchunguzi wa polisi wetu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom