Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

Status
Not open for further replies.
ni arusha kwenye uzinduzi wa kanisa hapa damu imetapakaa sana hapa ole city
 
Kulikuwepo mapadre wengi na Askofu wa Jimbo la Arusha pamoja na Balozi wa Baba Mtakatifu
 
Mkuu habari hiyo ndio imetokea sasa hivi, na bado inatangazwa live radio maria. Nimeweka link hata wewe unaweza kufuatilia

Radio Maria Tanzania - FM 89.1 - Dar es Salaam - Streema Player

Hawajatoa details, ni kuwa tu misa ilikuwa ndio inaanza saa 5 kamili, lakini kabla Askofu hajaanzisha sala mlipuko umetokea na kuna watu wameumia, haijajulikana kama watu wamekufa au vipi.

Habari zitakuja kadiri zinavyopatikana.
 
Kanisa la RC Olasiti ambalo leo hii lilikuwa linapandishwa hadhi na kuwa Parokia limelipuliwa na watu wengi wamejeruhiwa .

Mgeni rasmi alikuwa balozi wa Vatican nchini Tanzania.

Habari zaidi kufuata.
 
Mods unganisheni habari hii na nyongine
ili tupate urahisi wa kuifuatilia na kutoa
michango maana ziko mbili humu.
 
mama analia sana hamuoni mwanamme wake maiti nyingine ya mwanamke inabebwa hapa
 
Nguvu iliyotumika kumkamata Lema ndio inatakiwa itumike kuwakamata wahusika!Hatuhitaji usanii hapa!
 
Kwa wale mlioko arusha tupeni taarifa kanisa lililolipuliwa maeneo ya olasiti.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom