,Mlipuko mkubwa TANESCO ubungo Dar (Hili giza la leo kiboko. )

MBUFYA

JF-Expert Member
Aug 15, 2011
445
68
Kulitikea mlipuko mkubwa kwenye mitambo ya umeme ubungo ambao umepelekea umeme kukatika maeneo mbalimbali ya nchi, sijui kunajitihada gani zinafanyika ili kurudisha umeme huu maana mlipuko huo ulitoa moto na moshi mwingi mno EE MUNGU TUEPUSHE NA HILI GIZA.
 
mkuu ulikuwa nchi gani inashituka muda huu. Watu wameisha idiscuss sana hii issue' , sehemu nyingi za nchi ni tororo
 
Muswada wa kununua mitambo chakavu umepitishwa.Sasa ndo watapata njia ya kununua mitambo chakavu.
Kulitikea mlipuko mkubwa kwenye mitambo ya umeme ubungo ambao umepelekea umeme kukatika maeneo mbalimbali ya nchi, sijui kunajitihada gani zinafanyika ili kurudisha umeme huu maana mlipuko huo ulitoa moto na moshi mwingi mno EE MUNGU TUEPUSHE NA HILI GIZA.
 
jana si ililipuka ile mitambo y makumbusho leo tena ubungo!!! ........ kw hili giza ngoja niende maeneo y hatari nijiajiri.
 
Back
Top Bottom