Mlipuko mgodini waua 5 Afrika Kusini

Miss Zomboko

JF-Expert Member
May 18, 2014
4,498
9,279
Mlipuko kwenye mgodi wa makaa ya mawe umesababisha vifo vya watu watano kaskazini mwa Afrika Kusini.
Mlipuko katika mgodi Afrika ya Kusini
Mlipuko kwenye mgodi wa makaa ya mawe umesababisha vifo vya watu watano kaskazini mwa Afrika Kusini.

Kwa mujibu wa habari,mlipuko huo umetokea katika mkoa wa Mpumalanga kwenye mgodi wa makaa ya mawe wa Gloria.

Kuna uwezekano wa kuwepo kwa watu wengine 22 walionaswa chini ya mgodi huo.

Shughuli za uokoaji zinaendelea..

Trt
 
Back
Top Bottom