Mlipuko Arusha: Watu 8 wakamatwa, wamo raia wanne wa Saudi Arabia

kule kijijini kwetu, watu wenye mtindio wa ubongo kama wewe tulikuwa tunawapa jina la yule mnyama tunayemfuga ili atulinde usiku tukiwa tumelala, kazi yake kubwa ni kubweka au kung'ata wezi

Sisi kama nyie huwa tunawaita Kitimoto kwasababu akili zenu ni fupi
 
Kutaja jina moja na kuacha mengine pia ni udini. Ila ukiwaambia wanaruka mita mia. Hawajui kuwa udini unatafsiriwa kwa mapana sana.
 
mpaka ss kuna watu 10 washakamatwa ikiwemo raia 4 wa saudi arabia walio kamatwa namanga wakielekea nairobi kupanda ndege
 
Hii ni janja ya nyani, wanaamua kumuita jina la kikiristo ili watupumbaze na tuamini kuwa sio waislamu wamehusika. Hapa wakiristo hatudanganyiki.
Kutumia jina ku-judge will always lead us to unfair judgement. Only confession from the suspcted can lead us to correct conclusion.
Ndio maana tunahukumiana na kupapurana kwa ajili ya majina ya Wazungu na Waarabu.
 
Adolay.
Naona hujaelewa mada. Hoja yangu ni kujibu msemaji kuwa, haina maana kila mwenye jina la kikristo maana yake ametumwa na kanisa kutenda tukio fulani. Watu wengine wana ajenda zao za siri ila wanatumia "opportunities" zilizopo kutekeleza dhamira
So in short, list hiyo ilikuwa ni kuonesha kwamba wapo wakristo waliowahi kufanya matukio ya kigaidi
Unakumbuka kulikuwa na tukio la kigaidi Ubalozi wa Marekani pale Dar 1998. Hilo nalo ni tofauti kwa sababu limetokea TZ? UGAIDI NI UGAIDI na haukubaliki popote unapotokea iwe TZ, USA, UK Norway etc. Kuna vikundi kama IRA, AL QAEDA, KU KLUX CLAN, Uamsho, HAMAS, yule Kibwetere etc wote hawa wanatumia/walitumia terror kufikia malengo

Beginning after the Civil War, members of the Protestant-led, Ku Klux Klan organization began engaging in arson, beatings, cross burning, destruction of property, lynching, murder, rape, tar-and-feathering, and whipping against African Americans, Jews, Catholics, and other social or ethnic minorities. Estimated that 1916 people have been killed by the KKK, and hundreds of thousands terrorized.

Siddo
[h=2]Title ipo vivi: Mlipuko Arusha: Watu 8 wakamatwa, wamo raia wanne wa Saudi Arabia[/h]
1. Je mlipuko huo umetoke wapi, wakati gani na unadhani ni kwanini?

2. Ilikuweka mada sawasawa wakristo hao kwa maana ya Tanzania rejea swali no -1 walilipua misikiti na kuuwa mashehe? kama sio kwanini?

3. Nakubaliana na wewe ugaidi ni ugaidi tu, je kuna misikiti mingapi imechomwa moto hapa Tanzania ukilinganisha na makanisa zaidi ya 60 kwa nyakati na sehemu tofauti??? nani anahusika pia zaidi ya waatumishi watatu kuumizwa (Zanzibar) au kupigwa risasi (Zanzibar) au kuchinjwa (Geita) Kikwete, mwema na nchimbi wapo wapi??? wanatufaa?? Je sahihi kuita wanaufadhili ugaidi huu - rejea Ilunga alizunguuka nchi nzima kwa kibali cha serikali na usimamizi wa polisi.

4. Hiyo paragraph ya mwisho inauhusiano wowote na matukio ya hapa kwetu? zaidi ya makanisa 60 na wahubili kuuwawa?? can you asimilate the two?

Unapoingiza mfano wowote lazima maudhui yafanane.

CCM chini ya kikwete wameshindwa kuiongoza nchi na kwa kumpa kibali Ilunga kuzunguuka nchi nzima akichochea mauwaji na vurugu, Kumwacha Mohammedi saidi akishinda mitandaoni usiku na mchana akiwachochea watanzania kupigana kupitia udini yeye anaita dhurma ya elimu, Mou, mfumo kritu nk. Je huzani kwamba huu ni udini ulopaliliwa, kulelewa na ccm chini ya kikwete? bila kusahau sumu ilomwagwa na redio imani kwa muda mrefu bila kudhibitiwa? Huzani kwamba haya ni matokeo ya ujinga, upuuzi na udhaifu wa serikali ya ccm na kikwete kutumia udini ilikukubalika?
 
Last edited by a moderator:
Mambo haya si ya kuchukua kwa jazba unapokua na uhakika unatangaza hivi kweli wasaudi waje kufanya ugaidi Tanzania,naamini hadithi hii itaishia hapa kama kweli kuna wasaudi kwanini picha zao zisitolewe na kuwekwa wazi hamuoni kama hakuna kitu itakua aibu kutangaza kitu kama hiki.
 
Hapa tunaweza kupigwa changa la macho.kama aliekamatwa ni mwendesha bodaboda huenda atakuwa alikodishwa na bwana milipuko ampeleke hapo kanisani bila kujua kuwa alikuwa amekodiwa na gaidi.kwa mjibu wa maelezo ya awali inasemekana gaidi alikimbia huku akiita mwizi mwizi.mazingira haya yanaonyesha kuwa mulipuaji alikimbia kwa miguu.Kwa vile polisi hawajaeleza namna walivyo mpata mtuhumiwa huenda ni kweli ni mwendesha bodaboda na kukamatwa kwake kumekuwa rahisi kwa sababu hangeweza kukimbia akaiacha bodaboda yake huku akiamini kuwa hawezi kukamatwa kwa vile hakufanya kosa lolote.pia polisi wanaweza wakawa wamemkamata ili asaidie katika upelelezi wao baada ya kupata taarifa kuwa yeye ndiye aliyembeba mtuhumiwa pia polisi wanaweza kumkamata kwa ajili ya kupata kisingizio ili isije ikaonekana hakuna walicho kifanya.Mashahidi muhimu katika sakata hili ni wale wanaoijua vizuri hitoria ya kijana huyu wa kutoka eneo analoishi na eneo analofanyia kazi kwani waendesha bodaboda wanafahamika na watu wengi kuokana na kazi yao.Zaidi ya yote wenye ukweli wote ni polisi vinginevyo linaweza likawa changa la macho anaweza akawa amekamakamatwa kwa sababu alimbe mtuhumiwa huku akijua kuwa aliembeba ni abiria wa kawaida tu.
 
unajua kuna watu bado wanadhani tz ni salama... Pole zetu....
Kuna watu wanaamini kwamba hivi vyombo vya usalama vipo kwa ajili yakulinda amani ya nchi, na kulinda usalama wa mali zao............pole zetu

hiyo ni ze comedy ya tom na jerry......
Mmesahau ya imran kombe, mmesahau ya mwangosi, mmesahau ya ulimboka, mmesahu ya kolimba, mmesahu ya chacha wangwe, mmesahau ya prof wa udsm, mmesahau ya balali, mmesahu ya marehemu shekhe yahya mara hii tu mmeshau yooote haya??? Pole zetu watz

huna lolote mchumia tumbo, waliokutuma mbona hawaji front? Ni vile wanaluona hunazo, wanakutangiliza kama zuzu, shame on you. Wewe huna uchungu wowote na nchi hii bali ulafi unakusumbia. Kula kiloba ulale.
 
Hey, inawezekana ni mkristo kweli, au inaweza kuwa si kweli, kumbuka Breivik kule Norway, alitenda tendo la ugaidi, aliua wakristo, vijana, wazee na alitamka wazi kuwa alifanya vile kwa ukristo wake.So huyu Ambrose hatujui imani yake na anaweza kuwa pagani pia, yote hiyo haimfanyi kuwa hajatenda kosa, na haimaanishi katumwa na waislamu au wakristo.
Angalia mara kadhaa majambazi wanavyoteka mtaa na kufanya mauaji, wana malengo yao machafu but hamna anayetaka kujua walikuwa wa dini gani! na mara nyengine kupiga risasi watawa, kuwanyang'anya magari na kutoweka. Tusiseme kuwa "hatumtaki" huyo Ambrose coz hatujapenda jina lake! Kwa hiyo aachiwe huru siyo? ili atafutwe mwengine ambaye jina linafanana fanana kidogo. Mbegu mbaya sana hii
 
Adolay.
Naona hujaelewa mada. Hoja yangu ni kujibu msemaji kuwa, haina maana kila mwenye jina la kikristo maana yake ametumwa na kanisa kutenda tukio fulani. Watu wengine wana ajenda zao za siri ila wanatumia "opportunities" zilizopo kutekeleza dhamira
So in short, list hiyo ilikuwa ni kuonesha kwamba wapo wakristo waliowahi kufanya matukio ya kigaidi
Unakumbuka kulikuwa na tukio la kigaidi Ubalozi wa Marekani pale Dar 1998. Hilo nalo ni tofauti kwa sababu limetokea TZ? UGAIDI NI UGAIDI na haukubaliki popote unapotokea iwe TZ, USA, UK Norway etc. Kuna vikundi kama IRA, AL QAEDA, KU KLUX CLAN, Uamsho, HAMAS, yule Kibwetere etc wote hawa wanatumia/walitumia terror kufikia malengo

Beginning after the Civil War, members of the Protestant-led, Ku Klux Klan organization began engaging in arson, beatings, cross burning, destruction of property, lynching, murder, rape, tar-and-feathering, and whipping against African Americans, Jews, Catholics, and other social or ethnic minorities. Estimated that 1916 people have been killed by the KKK, and hundreds of thousands terrorized.

Siddo
[h=2]Title ipo vivi: Mlipuko Arusha: Watu 8 wakamatwa, wamo raia wanne wa Saudi Arabia[/h]
1. Je mlipuko huo umetoke wapi, wakati gani na unadhani ni kwanini?

2. Ilikuweka mada sawasawa wakristo hao kwa maana ya Tanzania rejea swali no -1 walilipua misikiti na kuuwa mashehe? kama sio kwanini?

3. Nakubaliana na wewe ugaidi ni ugaidi tu, je kuna misikiti mingapi imechomwa moto hapa Tanzania ukilinganisha na makanisa zaidi ya 60 kwa nyakati na sehemu tofauti??? nani anahusika pia zaidi ya waatumishi watatu kuumizwa (Zanzibar) au kupigwa risasi (Zanzibar) au kuchinjwa (Geita) Kikwete, mwema na nchimbi wapo wapi??? wanatufaa?? Je sahihi kuita wanaufadhili ugaidi huu - rejea Ilunga alizunguuka nchi nzima kwa kibali cha serikali na usimamizi wa polisi.

4. Hiyo paragraph ya mwisho inauhusiano wowote na matukio ya hapa kwetu? zaidi ya makanisa 60 na wahubili kuuwawa?? can you asimilate the two?

Unapoingiza mfano wowote lazima maudhui yafanane.

CCM chini ya kikwete wameshindwa kuiongoza nchi na kwa kumpa kibali Ilunga kuzunguuka nchi nzima akichochea mauwaji na vurugu, Kumwacha Mohammedi saidi akishinda mitandaoni usiku na mchana akiwachochea watanzania kupigana kupitia udini yeye anaita dhurma ya elimu, Mou, mfumo kritu nk. Je huzani kwamba huu ni udini ulopaliliwa, kulelewa na ccm chini ya kikwete? bila kusahau sumu ilomwagwa na redio imani kwa muda mrefu bila kudhibitiwa? Huzani kwamba haya ni matokeo ya ujinga, upuuzi na udhaifu wa serikali ya ccm na kikwete kutumia udini ilikukubalika?

Hata usimlaumu kikwete kuhusu udini mlaumu yule muasisi wa udini tangia miaka ya 60
 
Last edited by a moderator:
Hii ni janja ya nyani, wanaamua kumuita jina la kikiristo ili watupumbaze na tuamini kuwa sio waislamu wamehusika. Hapa wakiristo hatudanganyiki.

Acha wehu. Nchimbi ni muislamu hadi atafute jina la kumpa huyo mtuhumiwa? Acha vya dola vifanye kazi yake.
 
[/SIZE]

Hapa kuna mitizamo tofauti, lengo la hili tukio ni kutaka kuleta uchonganishi kati ya wakristo na waislam! 2 Ni kuleta uchonganishi kwenye taifa kwa maana kuna amani TZ inayo wanyima watu wengine usingizi!! Lakini vile vile kanda za Sheik Ilunga na mahubiri ya Sheik Ponda na kundi lake ya kuuwa makafiri hatuwezi kuyapuuza!!! Mbona serikali haikemei au kukamata wanaohubiri mahubiri ya kuuwa watu kwenye majumba ya ibada, huwezi kuona yanaleta matokeo kama haya, ingawa inaweza kuwa ni njia ya ku justify malengo ya wachochezi???

[/FONT][/SIZE][/B]

Naona huyu Sheikh Ilunga na Sheikh Ponda wamewakaa sana kooni. Mbona amumsemi Dr Slaa aliyesema mchana kweupeee kuwa NCHI HAITATAWALIKA kwa kuwa kaporwa .

Sasa huyo mbona Dr Slaa mbona hamtaji hapa hasa ukizingatia ametokea kanda hiyo na ni kasisi wa kanisa husika. Mimi ushauri wangu muviache vyombo vya usalama vifanye kazi yake au muiombe Serikali yenu ilete FBI kuja kujua ukweli upo wapi.

Mtatoana macho bure kwa kunyoosheana vidole.

Hapa tunaweza kupigwa changa la macho.kama aliekamatwa ni mwendesha bodaboda huenda atakuwa alikodishwa na bwana milipuko ampeleke hapo kanisani bila kujua kuwa alikuwa amekodiwa na gaidi.kwa mjibu wa maelezo ya awali inasemekana gaidi alikimbia huku akiita mwizi mwizi.mazingira haya yanaonyesha kuwa mulipuaji alikimbia kwa miguu.Kwa vile polisi hawajaeleza namna walivyo mpata mtuhumiwa huenda ni kweli ni mwendesha bodaboda na kukamatwa kwake kumekuwa rahisi kwa sababu hangeweza kukimbia akaiacha bodaboda yake huku akiamini kuwa hawezi kukamatwa kwa vile hakufanya kosa lolote.pia polisi wanaweza wakawa wamemkamata ili asaidie katika upelelezi wao baada ya kupata taarifa kuwa yeye ndiye aliyembeba mtuhumiwa pia polisi wanaweza kumkamata kwa ajili ya kupata kisingizio ili isije ikaonekana hakuna walicho kifanya.Mashahidi muhimu katika sakata hili ni wale wanaoijua vizuri hitoria ya kijana huyu wa kutoka eneo analoishi na eneo analofanyia kazi kwani waendesha bodaboda wanafahamika na watu wengi kuokana na kazi yao.Zaidi ya yote wenye ukweli wote ni polisi vinginevyo linaweza likawa changa la macho anaweza akawa amekamakamatwa kwa sababu alimbe mtuhumiwa huku akijua kuwa aliembeba ni abiria wa kawaida tu.
Usibadilishe maelezo ya mtoto,mtoto aliyemuona huyo mlipuaji, ndio huyo aliyekimbia akisema mwizi,mwizi.Na ndio huyo mwendesha bodaboda,sasa wewe wasema mlipuaji ni mwingine na mwendesha bodaboda ni mwingine,yeye alikondishwa kumleta mlipuaji,ukweli huyo huyo mwendesha bodaboda ndiye aliyejipenyeza kwa watu mpaka akarusha hicho alichorusha.Usipotoshe habari,ukataka mtetea mtu wa bodaboda.
Ukisema alikimbia kwa miguu,ndio alikimbia kwa miguu kwa sababu hakuna aliyesema mrushaji alikuwa na pikipiki,ila huko polisi alitambulikana kazi yake ni mwendesha bodaboda,sio kwamba alikwenda na pikipiki.
Jaribu kuwa mkweli,usipotoshe habari,kwa maslahi fulani.
 
Mambo haya si ya kuchukua
kwa jazba unapokua na uhakika unatangaza hivi kweli wasaudi waje kufanya
ugaidi Tanzania,naamini hadithi hii itaishia hapa kama kweli kuna
wasaudi kwanini picha zao zisitolewe na kuwekwa wazi hamuoni kama hakuna
kitu itakua aibu kutangaza kitu kama hiki.
Wasaudi hawarunusu kabisa raia wao kushtakiwa nje ya nchi yao. UNaweza kutabiri kifuatacho.
 
Back
Top Bottom