Azizi Mussa
JF-Expert Member
- May 9, 2012
- 9,172
- 7,427
Jambo hili ni gumu kea kweli
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu sisi hapa tunajadili tu general logic lakini details za ndani kabisa hatuwezi kuzijua kwa kuwa hatuko kwenye field moja kwa moja na hatuna vifaa. Kupatikana kwa taarifa za ndani kabisa kama unavyosema, hilo ni suala la vyombo rasmi vya usalama kwa kuwa wako field, wana vifaa na ujuzi. Suala tu linakuja kama nao hawataingiliwa na wanasiasa.Tumuombeni mungu huku tukifuatilia.how i wish through serial numbers za vitu kama silaa za hatari kama hizi zingekuwa zinaambatana na taarifa za mnunuzi ambazo zingeambatanishwa kwenye records za serial number yenyewe.. sijui wataalam labda mtuambie more abt this as its not a local made
ni sawa mkuu nalielewa hilo but as long as serial number zimeweza kupatikana, kwa mtizamo wa kawaida ni kuwa mnunuzi pia aweza kupatikana kutokana na kuwa si bidhaa inayoweza kuuzwa kiholela sembuse gari tu waweza jua mmiliki through registration number so kwa kuwa wachunguzi wamefikia kusema wamezifahamu serial number then tutegemee mshangao wa wao kusema hawawezi kumjua mnunuzi?Mkuu sisi hapa tunajadili tu general logic lakini details za ndani kabisa hatuwezi kuzijua kwa kuwa hatuko kwenye field moja kwa moja na hatuna vifaa. Kupatikana kwa taarifa za ndani kabisa kama unavyosema, hilo ni suala la vyombo rasmi vya usalama kwa kuwa wako field, wana vifaa na ujuzi. Suala tu linakuja kama nao hawataingiliwa na wanasiasa.Tumuombeni mungu huku tukifuatilia.
mkuu kwa nadharia ya nmna hiyo sidhani kama wangei target upinzani, nadhani wangewalenga ccm kama serikali3;NADHARIA YA KWAMBA NI HUJUMA KUTOKA MAKUNDI YA KISIASA NJE YA NCHI;
Hii kimsingi ni nadharia isiyofaa kupuuzwa hata kidogo.Tukumbuke kwamba ni mwezi mmoja na nusu tu umepita toka Waasi wa M-23 watutishie baada ya serikali yetu kuidhinisha kupeleka majeshi ya kulinda amani Congo DRC.
Inawezekana kwamba kinachotokea hapa kuna makundi kutoka nje yanataka kutuharibia "concetration" ya kuangalia mambo mengine ya kimataifa, na kinyume chake turudi kuzozana wenyewe kwa wenyewe.Pia ikumbukwe kuwa Obama anatarajiwa kuja nchini siku za karibu.Inawezekana ni hila za watu wa nje kutuvuruga (pengine wivu) ili Obama aogope asije tena.Lakini Pia Rais kikwete juzi juzi kashauri kutatua mgogoro wa Congo kwa Mazungumzo. Nadhani mmeona "Reaction " iliyokuja .Kwa hiyo hapa napo panahitaji uchunguzi wa kina.
Hata hivyo kwa mtu wa kawaida kwenye eneo hili ni vigumu kujua chochote kwa kuwa kunahitaji uchunguzi wa kina kwanza.Hapa tu ni kuachia vyombo vya usalama na kujiaminisha kwamba vitafanya kazi yake ipasavyo.
Mkuu sisi hapa tunajadili tu general logic lakini details za ndani kabisa hatuwezi kuzijua kwa kuwa hatuko kwenye field moja kwa moja na hatuna vifaa. Kupatikana kwa taarifa za ndani kabisa kama unavyosema, hilo ni suala la vyombo rasmi vya usalama kwa kuwa wako field, wana vifaa na ujuzi. Suala tu linakuja kama nao hawataingiliwa na wanasiasa.Tumuombeni mungu huku tukifuatilia.
3;nadharia ya kwamba ni hujuma kutoka makundi ya kisiasa nje ya nchi;
hii kimsingi ni nadharia isiyofaa kupuuzwa hata kidogo.tukumbuke kwamba ni mwezi mmoja na nusu tu umepita toka waasi wa m-23 watutishie baada ya serikali yetu kuidhinisha kupeleka majeshi ya kulinda amani congo drc.
Inawezekana kwamba kinachotokea hapa kuna makundi kutoka nje yanataka kutuharibia "concetration" ya kuangalia mambo mengine ya kimataifa, na kinyume chake turudi kuzozana wenyewe kwa wenyewe.pia ikumbukwe kuwa obama anatarajiwa kuja nchini siku za karibu.inawezekana ni hila za watu wa nje kutuvuruga (pengine wivu) ili obama aogope asije tena.lakini pia rais kikwete juzi juzi kashauri kutatua mgogoro wa congo kwa mazungumzo. Nadhani mmeona "reaction " iliyokuja .kwa hiyo hapa napo panahitaji uchunguzi wa kina.
Hata hivyo kwa mtu wa kawaida kwenye eneo hili ni vigumu kujua chochote kwa kuwa kunahitaji uchunguzi wa kina kwanza.hapa tu ni kuachia vyombo vya usalama na kujiaminisha kwamba vitafanya kazi yake ipasavyo.
Mkuu; na wewe ungesaidia kuongezea kwenye nadharia moja wapo hapo; kwa namna yeyote ile (hata kama ni dialogue) ungeweza kusaidia mawazo pengine..Yaani wewe unauliza na kujijibu mwenyewe! Kwa nini unataka ku-manage mawazo ya watu? Hiyo nadharia ya CCM umeipamba wakati ya CHADEMA yenye ushahidi mwingi umeifinya na kukanusha hapo hapo!
Ndio maana nchi hii ni masikini kwa sababu wajinga wanadhani wana akili!