mgt software
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 13,767
- 7,115
Wana Jamvi,
Leo ni siku ambayo nimeiona niandike baada ya kunyanyaswa na wafanyakazi wa TRA Samora, ilikuwa hivi:
Mnamo mwaka 2005 nilifunga biashara baada jengo nililkuwa nikipanga kutaka kuvunjwa na NHC kupisha ujenzi, nilipeleka viambatanisho vya oroginal vya barua ya NHC nilioandikiwa kuvunja mkataba. walipokea vizuri, ikawekwa kwenye file langu, baada ya hapo nikaishi mitaani. Mwaka 2016 nilienda TRA kufufua biashara nikaambiwa niandike barua ya maombi ya kufungua biashara, nikafanya hivyo. mwaka 2016-2017 mwaka mzima nilikuwa napigwa tarehe, mnamo mwezi wa september 2017 nilikadiliwa na kuanza kulipa, niliambiwa nikakate lessen , mtiti ukaja kwenye leseni kuwa ni lazima nipate tax clearence, kurudi pale nikaambiwa nikadiliwe upya kwa sababu file lako na document hazionekani, na tin yako ni ya mwaka 2003, hivyo unaonekana una deni la nyuma,nilipouliziavipi file langu limepoteaje? sikujibiwa zaidi ya kuambiwa wamefungua file jipya, nami nashindwa kulipa kodi kwa sababu ya vikwazo, nashindwa kuchukua leseni yangu kwani wanataka tax clearence. nina ushahidi wa barua tatu za kuwaomba kufungua biashara na mbili za kudai tax crealence ambazo zote zipo kwenye file langu jipya waliounda wao wakaniambia nianze kulipa kodi. kwa sasa nipo kwenye mkanganyiko nifanye nini.