Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,691
- 149,915
Tatizo letu ni poor reasoning inayotaokana na IQ yetu kuwa ndogo.
Wanachokifanya hawa jamaa ni sawa na anachokifanya mbeba mzigo alielemewa na mzigo barabarani lakini hana budi inabidi ajikongoje tu mradi afike.
"Mbeba mzigo huyu(mlipa kodi) kabebeshwa ndoo nzito ya maji(kodi) kuliko uweza wake na umbali anaokwenda ni mrefu kwahiyo anachofanya ili afike ni kuweka mzigo wake kichwani kwanza alafu anapiga hatua chache akichoka then anahamishia ndoo yake mkono wa kulia kisha anatembea hatua kadhaa anahamishia tena mzigo huo mkono wa kushoto kabla ya kuurudisha tena kichwani mpaka pale atakopifika."
Mtu huyu mpaka afike sijui atakuwa hoi kiasi gani.
Mlipa kodi wa Tanzania hana tofauti na mbeba ndoo ya maji alielemewa lakini hana budi kufika anakokwenda.
Bila kubuni vyanzo vipya vya mapato na vyenye kueleweka tutaendelea kuwekewa mzigo huu wa kodi kichwani then watauhamishia mkono wa kulia na baadae mkono wa kushoto kabla ya kuuridisha mzigo huo kichwani huku wakikuambia wanakusaidi usifike ukiwa umechoka huku mwili wako ni ule ule.