Mliozaliwa ulaya, Mrekani ebu acheni ushamba mtu anasema eti hajui kuku

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
2,992
2,000
abdulnondo1: Yaani nyie Dada zetu baadhi Diaspora jamani Mungu anawaona hivi kweli hujui kuku ? ,au Ulaya hakuna kuku !!! Yaani who is Kuku ? Yaani hajui kuku ila amesikia wameitana Kuku ,alafu Anauliza Who is Kuku😂😂😂,ila aliyeita kuku ,kuku ni yeye sasa who is Kuku? Alafu anamalizia she is calling kuku !
 

Attachments

Pr cure

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
1,862
2,000
mkuu naona lugha ilikuwa gongana , yeye alikuwa anamaanisha ile cook ya kupika wewe una maanisha ndege yy ashazoea kule
 

chaliifrancisco

JF-Expert Member
Jan 17, 2015
13,430
2,000
Hahaha aseee.. Huu uduwanzi sasa. Hata picha hajawahi kuona?


Kama wapo wa hivyo itabidi nikafungue zoo ya kuku wa kienyeji hapo Ulaya.

Naweza kupiga kimango chakueleweka asee.
 

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
44,608
2,000
Kuna mmoja alikuwa mtoto mkubwa wa familia. Akirudi nyumbani kumzika baba yake. Baadabya mazishi aliomba mkalimani atafsiri shukrani zake kwa waliohudhuria.

Alitokea chizi mmoja walisoma nae longi, alimchana live. Jamaa alimind akamrukia. Watu walishangaa kumbe bado unasikia ki lugha!
 

Mung Chris

JF-Expert Member
Sep 12, 2017
2,992
2,000
Kuna mmoja alikuwa mtoto mkubwa wa familia. Akirudi nyumbani kumzika baba yake. Baadabya mazishi aliomba mkalimani atafsiri shukrani zake kwa waliohudhuria.

Alitokea chizi mmoja walisoma nae longi, alimchana live. Jamaa alimind akamrukia. Watu walishangaa kumbe bado unadikia ki lugha!
:D kuhitaji mkalimani ni kitu kingine sasa huyo alikuwa bishoo eti amesahau kiswahili duh
 

Asprin

JF-Expert Member
Mar 8, 2008
61,649
2,000
Kuna mmoja alikuwa mtoto mkubwa wa familia. Akirudi nyumbani kumzika baba yake. Baadabya mazishi aliomba mkalimani atafsiri shukrani zake kwa waliohudhuria.

Alitokea chizi mmoja walisoma nae longi, alimchana live. Jamaa alimind akamrukia. Watu walishangaa kumbe bado unadikia ki lugha!
Mi nshasahau kiRombo.
 

Kajole

JF-Expert Member
Apr 12, 2011
1,632
2,000
Aiseee sijajua lkn kuna rafiki angu mmoja toka Italy(ni mtu wa Italy) alikuwa sponsor wangu toka form one mpaka masters. Wakati nafanya graduation yangu(masters) alikuja kuonana na mimi maana muda wote nilikuwa napokea tu ufadhiri kupitia kanisa,alikuja tukasheherekea then nikampeleka kijijin kwetu.

Kufika kijijin nilishangaa sana kila siku alfajiri kishaamka yupo nje,ikawa hivyo kwa siku 3 mfululizo,nikamuuliza mwenzangu vipi asbh asbh umeamka?
Alinijibu "naamka asubuhi kuna kitu kinatoa sauti nzuri sana huko nje huwa naenda kusiliza na kuangalia nini hicho?".
Nikauliza sauti? Akajibu ndio nitakuamsha asbh uisikie.
Kesho yake ananiamsha njoo usikie hiyo sauti,..
duh kumbe jogoo anawika,mbona nilichoka!!!. Kwahiyo possibly hata huyo hajui kuku maana jamaa angu alichanganyikiwa sana namuonyesha kuwa anayepiga kinana hicho asbh ni huyu jogoo haamini
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom