Mliowahi kutapeliwa na manabii tukutane hapa

doppla2

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
1,314
1,366
Sabato njema wakuu

Kwa msingi wa Biblia imeandokwa siku za mwisho zitakua za hatari. Watu watakua wenye kujipenda wenyewe na kupenda pesa kuliko kumpenda Mungu.

Angalizo hili ni kama linasadifu nyakati tunazoishi leo. Kiukweli siku hizi hapendwi mtu inapendwa pesa. So watu baki tu wanaoathiliwa na upepo wa kimfumo wa nyakati za leo bali hata watumishi wa Mungu.

Katika kipindi cha takribani miaka kumi hivi kumeibuka shutuma nyingi sana juu ya watumishi wa Mungu kuwa wanapenda pesa pengine kuliko hata kuwatumikia wana wa Mungu walio chini yao, hasa kundi linalojitanabaisha kama MANABII.

Katika Ukristo kundi hili la watumishi yaani MANABII linaheshimika sana kama mawakili wa siri za Mungu na amabo waweza kukupa mahusia ya nini Mungu anataka juu ya maisha yako.

Pia Biblia imewasihi watu kuwatii na kuwaamini na kwa kuifanya hivyo ndivyo watakavyothibitika sana na kufanikiwa.

However, kwa upande mwingine Biblia haikukaa kimya bila kuonya uwepo wa manabii wa uongo na watakaojipenyeza wakiwa wamevaa ngozi ya kondoo. Na Biblia imeenda mbali zaidi na kuruhusu kuzijaribu kila roho , na msingi mkubwa ni kwa kuyatathimini matendo yao.

Lakini pamoja na haya yote bado bila kupinga huduma ya kinabii bado inaushawishi mkubwa ndani na nje ya kanisa na watu wengi wamejikuta kwenye confusion ya huduma ipi ni genuine na ipi ni fake.

Kuna msingi mwingine Biblia imeuweka ikiwa utatabiriwa na kuambiwa hivi ndivyo Mungu anasema juu ya maisha yako na kile kitu kisitokee itoshe kusema unabii ule ni fake, coz moja ya sifa ya Mungu ni kuwa katu hawezi kusema Uongo"

Kwa msingi wa kujengana ...ili tujifunze na kusaidiana...ni nani amewahi kuhisi alitapeliwa kwa msingi wa kinabii na ilikuaje?

Note: ili mjadara uwe na afya msitaje majina ya mabii waliowatapeli

Na kwa wale ambao tumewahi kutabiriwa na Mambo yakawa safi msiache kumtukuza Mungu kwa ushuhuda hapa, karibu utuambie nini ulitendewa!!

Wasalaam.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anza wewe

Back
Top Bottom