Bill of Quantity
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 1,233
- 405
Habari za asubuhi wakuu?
Naomba kufumbuliwa macho kidogo kuhusiana na hawa ubalozi wa marekani, kwa kweli wanatangaza kazi mara kwa mara na wanasisitiza ujazwaji wa form namba DS-174.
Degree concentration yangu ni logistics and transport ya mwaka 2015, sin experience zaidi ya field work.
Kwa kweli nimeshajaza sana hio fomu pamoja na kuweka na nakala za vyeti vyangu lakini sijawahi hata kunusa interview za ubalozi.
Wakuu ambao mna uzoefu na hawa watu wa ubalozi wa marekani, naombeni msaada.
Mara ya mwisho walitangaza nafasi ya store keeper ambayo deadline ilikuwa january 6 ambayo pia nilistuliwa ghafla na rafiki yangu nikaijaza na kurudisha fomu.
Karibuni wataalamu wa mambo..
napatikana kwa namba 0762972021/0653811003 Dar es salaam