Mlioteuliwa hongereni kapigeni kazi haswa!

Nebuchadinezzer

JF-Expert Member
Oct 1, 2018
1,403
2,545
Nawapongeza wote mliopata bahati ya kuteuliwa kuwa wakuu wa wilaya. Hongereni sana.

Kazi mliyopewa ni kubwa sana na enzi za kale (Kabla ya Kirsto) nafasi hizi walipewa vijana wenye akili na hekima. (Mfano. Shadraka, Meshaki na Abeidnego wa kwenye bibilia)

Hivyo, mtangulizeni Mungu katika nafasi zenu za kulitumikia taifa lenu.

Hongereni sana!

Najua kuna watu humu JF walikutamani sana wawe wao ila wamekosa...poleni jamani.

Ongozeni hata familia zenu, inatosha.

Usiku mwema.

Nebuchadinezzer -Mwanafunzi wa JPM
 
Ushauri wangu asiyeweza asiende kuapa, asije anafanya madudu Kama yule mshamba wa kimasai sabaya
 
  • Thanks
Reactions: _ID
Back
Top Bottom