Mliotahiriwa na ganzi eti ni kweli kwamba ile sindano ili kupata ganzi huwa ina athari baadaye?

Hakuna kwa maana kaka zangu wote walifanyiwa hospitali na wameoa wanawatoto
Siyo uthibitisho kwamba kaka zako hawajapata athari ya mshedede a.k.a mpingo. Yawezekana wake zao wanagongwa na wajanja halafu wanalea watoto wa hao wajanja
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom