Mliosambaza picha fake ya bob Wine akiwa na majeraha usoni mko wapi?

MartinCoder

MartinCoder

JF-Expert Member
696
1,000
MLIOSAMBAZA PICHA FAKE YA BOB WINE AKIWA NA MAJERAHA USONI KOMENI KUWA MNASAMBAZA VITU MSIVYOKUWA NA UHAKIKA NAVYO. MBONA LEO MAHAKAMANI HATUJAMUONA NA JERAHA LOLOTE USONI ,NA ISITOSHE LEO NDO KAPEWA RUHUSA YA KWENDA KUPATA MATIBABU . SASA HAYO MAJERAHA YA USONI YAMEPONA SA NGAPI.

UNAPOPATA HABARI YOYOTE TULIZANA KWANZA UONE KAMA INA UHAKIKA KABLA YA KUANZA KUISAMBAZA.
UNAPOSAMBAZA UONGO KUMBUKA NAWE UTAPATA SHARE YA DHAMBI YA UONGO HUO KADIRI UNAVYOENDELEA KUSAMBAA.

 
leroy

leroy

JF-Expert Member
1,207
2,000
Ungetuwekea picha original kwenye huu uzi ungekuwa umefanya la maana zaidi.
 
V

vigota

Senior Member
190
250
usingaike naye huyo cha msingi kasema amepewa ruhusa akatibiwe nadhani atakuwa anaennda kutibiwa TEZI DUME
 

Forum statistics


Threads
1,425,226

Messages
35,085,100

Members
538,249
Top Bottom