Mlioripot saut tupeni habari bila mikopo wanagoma kusajili au???

nani kakuambia hata kama mtoto wa mkulima utegemee fees yote acha ujinga ile ni private university kk
 
nani kakuambia hata kama mtoto wa mkulima utegemee fees yote acha ujinga ile ni private university kk

mbona jamaa kaandika vzr 2,yanini kuoneshana ulivingstone kaka,jaribu kuwa na subir pale unapofanya kureply wengne,inauma umaskin wa m2 then unamlivistone kiivyo c poa.
 
Jamani Heslb watutendee haki,SAUT hufanyiwi registration bila kulipa hyo 733000 halafu offcumpus hostel ni kuanzia lak9 hadi 1point something kwa mwaka,hawapokei nusu,kila chumba wawiliwawili,bado hujaweka garama za stationary,umeme,food,jamani,mi nitafanyaje?wakati hyo 733 yenyewe tumeuza mifugo yetu yote nyumbani marangu,kwa nini iwe hvyo? Naombeni ushauri
 
Back
Top Bottom