Mliopo Uwanja wa Taifa Tigo Fiesta Tunaomba Updates

Mad Max

JF-Expert Member
Oct 21, 2010
19,036
49,642
Wanajukwaa habari.

Leo kuna tamasha la Tigo Fiesta jijini Dar es Salaam, Uwanja wa Taifa. Sijafanikiwa kwenda, kwasababu flani flani, ila ningependa kupata updates yanayoendelea.

Nilipenda sana uwanja ujae, burudani iwe nzuri kila mtu afurahi, waandaaji, watumbuizaji na walipa kiingilio. Kama kuna mdau wa jukwaa hili yupo viwanjani anaweza tugusia ABC mambo yanavoendelea.
 
Ingawa kiingilio kuwa ni bia mbili lakin watu ni wachache sana mapengo ni mengi mno

Hi ni hasara kubwa sana kwa Clouds media. Itabidi tu wasanii wengine wafanye show free ili kubalance mambo

Maana muda huu watu washaanza kuingia bure ili kuficha aibu
 
Sijui waliwaza nini kuweka uko Taifa, lakini naona ni kushoto sana, yaani mtu kutoka Mbezi/Tegeta kuja uko dah ni mbali sana especially ukiwa unatumia usafiri wa public.
 
Back
Top Bottom