Mliopo TZ tupeni matokeo ya Yanga mechi ya leo na Vitalo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mliopo TZ tupeni matokeo ya Yanga mechi ya leo na Vitalo

Discussion in 'Sports' started by Freetown, Jul 23, 2008.

 1. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #1
  Jul 23, 2008
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Jamani ombi kwa wenzetu mliopo nyumbani tunaomba kujua matokeo ya mchezo wa leo wa robo fainali kati ya Yanga na Vitalo ya Burundi
   
 2. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #2
  Jul 23, 2008
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  yanga 2-0 vital'o
   
 3. Nemesis

  Nemesis JF-Expert Member

  #3
  Jul 23, 2008
  Joined: Feb 13, 2008
  Messages: 3,841
  Likes Received: 1,102
  Trophy Points: 280
  Bravo Young Africans (Yanga), mwaka huu tumnyoe huyo mnyama anayejifanya kidume! twende zetu final kisha tubebe kikombe hicho.
   
 4. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #4
  Jul 23, 2008
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Asante kwa taarifa na hongera kwa wana yanga wote popote mlipo, nashukuru jamii forum kwa kuwa mbele ya vyombo vyote vya habari keep it up
   
 5. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #5
  Jul 23, 2008
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  na yanga wamepiga soka la uhakika kila mtu kakubali, yaani mpaka vital'o wakawa hawafokeani, coz hakuna wa kumlaumu yaani wamezidiwa.
  tofauti na piga twende la ndugu zetu jana...
   
Loading...