Mliopo TZ tupeni live mechi ya simba na Waganda

Freetown

JF-Expert Member
Apr 6, 2008
883
73
Jamani naomba Mliopo TZ tupeni live mechi ya simba na Waganda
natanguliza shukrani
 
duh kumbe ni kweli, nsikia ni 0 Simba 1 URA, poleni sana wazee wa msimbazi mjifunze kukaa na makocha. Mlitegemea mbulgaria afanye nini katika siku 2? hata hivyo mmejitahidi.
 
Asante sana Nziku kwa msaada wa habari, japo nipo upande wa yanga nilipendezewa kama mtanzania fainali ziingie timu za TZ ili kuwe na uhakika wa kubakiza kombe nyumbani, haya tuiombee hiyo iliyobaki ifanikiwe kutunza heshima ya nchi.
 
Game limeishaa.....Simba wamelaliwa...1-0..hata penati wamekosa...dak za majeruhi...sikio la kufa.........
 
leo simba wamecheza kichovu sana kiungo ilikatika kabisa possesion hakuna kabisa sema waganda nao waliihofu sima wakawa wanacheza defence kama wangefungua simba wangepigwa goli za mapema
 
mimi ningekuwa mwandishi wa habari
gazeti langu kesho lingepambwa na kichwa kikubwa cha habari
"simba jike achambia upawa badala ya kopo"....
 
mpaka dakika ya 90 ngoma ilikuwa 0-0.
ikabidi ziongezwe 30 na hapo ndo waganda wakanikumbusha enzi zile za kina charles simbwa, paul asule, issa sekatawa, sam kabugo, sam simbwa, adam semugabi na majid musisi.
ukweli ni kuwa simba wamekwisha, yaani hawana tofauti na mji mpwampwa au JKT ruvu.
 
simba wakapewa penati bwana dakika moja kabla ya mpira kwisha
na hapa ndipo nilipokumbuka ule msemo wa wahenga unaosema
"siku ya kufa mbwa pua zote zinaziba"
kwa sababu hata hiyo penati nayo pia kipa akadaka.
sasa tumsikie yule kocha wao msaidizi atajitetea nini.
 
Nyepesi nyepesi tu mkereketwa wa JF P. Mikael alionekana akirandaranda kwa Mh Juma Athumani Kapuya wakisubiri kula shaba la pilau kufurahia ushindi, lakini baada ya kunywa goli moja hata hiyo Corolla yake ilivyotoweka haijulikani.
Jamani mkimuona mwambieni arudi tu, hapa JF hatuna noma asubiri kuona maandamano leo vijana wanafanya kweli muda si mrefu.
 
mimi ningekuwa mwandishi wa habari
gazeti langu kesho lingepambwa na kichwa kikubwa cha habari
"simba jike achambia upawa badala ya kopo"....

Nakama ungekuwa mwandishi wa habari leo kiochwa cha habari king'ekuwa je?
 
Nyepesi nyepesi tu mkereketwa wa JF P. Mikael alionekana akirandaranda kwa Mh Juma Athumani Kapuya wakisubiri kula shaba la pilau kufurahia ushindi, lakini baada ya kunywa goli moja hata hiyo Corolla yake ilivyotoweka haijulikani.
Jamani mkimuona mwambieni arudi tu, hapa JF hatuna noma asubiri kuona maandamano leo vijana wanafanya kweli muda si mrefu.

...yomba karibu keshi nitakuwa VIP A...kuchuhudia mnyama anavyomtafuna.....unajua tena walikitolewa makusudi kwa kuwa sisi mabwana zao tumetolewa......wakaona watufuate kesho tuwapige..kipara!!!!........tunajua mnao mastaa tuliowapa wanne kwenye first eleven yenu ...hilo hatuangalii mtatunguliwa na vijana wabichi..yosso...wenye speed kali....hatuangalii kama mnao ,makocha wanne wazungu au kama mmefanya usajili wa milioni 800...za fisadi manji...ambaye naye tunaomjua tunajua ni simba ila amekuja yanga kufanya PR repair campagne..... siku akiondoka yanga watamfuata kina madega wameinama kinyumenyume.....

........kazi ya kuwapiga vipara ni yetu mwaka wa sita huu mfulululizo hamjashinda.....hata tukiwavalisha TWIGA GIRLS STARS jezi za simba ..mtafungwa...jezi tu inatosha kuwatia hofu...!!
 
bwana mdogo tumia tafsida
coz maneno ni makali hayo, na unatakiwa ukumbuka wahenga walisema mdomo uliponza kichwa oooohoooooooooo...
 
...yomba karibu keshi nitakuwa VIP A...kuchuhudia mnyama anavyomtafuna.....unajua tena walikitolewa makusudi kwa kuwa sisi mabwana zao tumetolewa......wakaona watufuate kesho tuwapige..kipara!!!!........tunajua mnao mastaa tuliowapa wanne kwenye first eleven yenu ...hilo hatuangalii mtatunguliwa na vijana wabichi..yosso...wenye speed kali....hatuangalii kama mnao ,makocha wanne wazungu au kama mmefanya usajili wa milioni 800...za fisadi manji...ambaye naye tunaomjua tunajua ni simba ila amekuja yanga kufanya PR repair campagne..... siku akiondoka yanga watamfuata kina madega wameinama kinyumenyume.....

........kazi ya kuwapiga vipara ni yetu mwaka wa sita huu mfulululizo hamjashinda.....hata tukiwavalisha TWIGA GIRLS STARS jezi za simba ..mtafungwa...jezi tu inatosha kuwatia hofu...!!

Mbona mpira na siasa ni vitu viwili tofauti sana Mkuu phillemon? wait 90 minutes or 120 minutes or shootouts. Rangi ya kijani na njano isikuudhi kwenye michezo.
 
kaka mmeingia mitini sasa unasemaje...yangu si matusi...subiri nyodo za jamhuri za saa mbili kasoro....
 
hao makocha wanne wangekuwa makocha ..yanga wangeingia mitini bwana!!!.......wakikuwa wavunaji wa matunda tu hao ulaya .....

ok well makocha mnao nyie ambao watawaongoza nxt season kukimbizana na polisi dodoma, polisi morogoro, toto africa na ruvu shooting.
coz mashindano makubwa mnayasikia kwenye bomba tu.
 
hujafahamu kuwa mnafungiwa mashindano ya kimataifa kwa kukosa ustaarabu....nafasi yenu wanaenda PRISON.....

....YANGA HATAHIVYO THEY CAN NOT TRUMPH IN INTERNATIONAL TOURNAMENT..SIMPLY ..NEVER!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom