Mliopo chuoni/masomoni hivi morali ya kusoma kwa bidii mnapataje?

OMOYOGWANE

JF-Expert Member
Dec 30, 2016
3,624
9,167
Nijuavyo mimi ili mtu akazanie kitu flani lazima awe motivated, kwamba baada ya hard work kuna reward (matunda),

Tunafahamu lengo la kusoma ni kuelimika, lakini kwa mazingira ya Tanzania kusoma ni fursa ya kujikwamua kiuchumi (majority wapo hapa).

Nauliza mliopo chuoni mnapataje morali ya kusoma? Kipi hasa kinawatia hamasa mkazanie masomo licha ya changamoto mnazopitia kama vile kukosa pesa ya kujikimu n.k?

Natamani kufahamu
 
Ajira inafanya watu wakaze wakitegemea mambo mbele yatajiset 😄😄😄
Yaani mtu akimaliza ajira hii apa tra salary 2.5 mil
 
Nijuavyo mimi ili mtu akazanie kitu flani lazima awe motivated, kwamba baada ya hard work kuna reward (matunda),

Tunafahamu lengo la kusoma ni kuelimika, lakini kwa mazingira ya Tanzania kusoma ni fursa ya kujikwamua kiuchumi (majority wapo hapa).

Nauliza mliopo chuoni mnapataje morali ya kusoma? Kipi hasa kinawatia hamasa mkazanie masomo licha ya changamoto mnazopitia kama vile kukosa pesa ya kujikimu n.k?

Natamani kufahamu

Nijuavyo mimi ili mtu akazanie kitu flani lazima awe motivated, kwamba baada ya hard work kuna reward (matunda),

Tunafahamu lengo la kusoma ni kuelimika, lakini kwa mazingira ya Tanzania kusoma ni fursa ya kujikwamua kiuchumi (majority wapo hapa).

Nauliza mliopo chuoni mnapataje morali ya kusoma? Kipi hasa kinawatia hamasa mkazanie masomo licha ya changamoto mnazopitia kama vile kukosa pesa ya kujikimu n.k?

Natamani kufahamu
Maisha yanawafanya wakomae
 
Umaskini wa nyumbani ndio morali
 
16320807298218266565975009154722.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom