Mliopo Bunju kwenye Mahafali ya CPA tujuzane leo nimetimba hapa

Mzungu mkoloni katika vitu alituweza kutukomesha ni kuleta elimu Kama hiyo ya CPA Hiyo inafunza kutunza pesa za watu wengine sio zako.

Hebu fikiri kundi lote Hilo limefunzwa kwenda kutunza pesa za watu sio zao.

Roho inaniuma
Wamefunzwa kutunza fedha/mali na madeni, hazina label kusema lazima ni za mtu fulani, hata za kwake zinahusika.
 
Hii fani bna, inahitaji uwe na hofu ya Mungu kweli kweli. Yaan namba moja (1) inaweza kuwa (7), au moja inaweza kuwa (4), au moja inaweza (9) au moja inaweza (6).

Tena bora zimekuja hz accounting parkages nyingi, maana mtindo wa zaman wa manual watu walipiga hela.

Yaan zaman mtu alikuwa anabadirisha figure kuanzia kwenye receipt book, anakuja kwenye cash book ndo usiseme anaonesha imeingia na pia imetumika.

Figure hiyo hiyo akiitoa cash book anaileta kwenye ledger bkama matumiz. ngoma inabadirishwa, akiitoa ledger book anakuja nayo kwenye trail balance ngoma inabalance,

akiitoa hapo, anaileta kwenye final account mpaka mwishoe balance sheet ngoma inabalance.

Akitoka hapo anaenda kwenye expinditure board mnt. Anabadirisha ionekana board ilipitisha, anafaile munts za board. Akitoka apo anaenda kwa mtunza mnt za bod, anaweka mnt fake

Akitoka anaenda kwenye file la vocha za malipo, anaweka vocha yenye receipt fake.

Akija odta, ana angalia kuanzia receipt book anakuta lak 5 ziliingia Kama cash. Badae anachek cash book anakuta lak 5 zimeingia na kutumika , anaenda kwenye ledger anaona lak 5 imetumika.

Anaenda kwenye kwenye board mnt, anakuta lak 5 iliruhusiwa kutumika na wanabid, anatoka hapo anaenda kuangalia vocha ya malipo, anakuta mtu alipokea lak 5 akanunua spare za gar ya bos na list zimewekwa kwenye vocha.

Baada ya hapo odta anasepa na kutoa hati safiii uku muhasibu anabak anamcheka odita. Yaan nyie watu Mungu anawaona........

Mkawe tu waaminifu
Kwa haya maelezo ya kutosha na mm hapa nimeisha inyaka CPA fasta ngoja nitafute kiwanja saa hii nipige beer niwajoin wenzangu wa Bunju kugraduate
 
Hongera zake..
Kuwa mama,..na mpenzi wa mtu maarufu.(public eye).na bado ukaongoza nchi nzima,si jambo dogo..
Big up to her..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app

Pongezi kwake na babeake.


Kusoma ukiwa mama ni ngumu na inakua ngumu zaidi kama utakosa support ya familia haswa mwenza



Ameandika NIKKIWA2
Screenshot_20211002-223227.jpg

Screenshot_20211002-223145.jpg
 
Back
Top Bottom