Mliopita FoE na sasa CoET Mnatafutwa

IronBroom

JF-Expert Member
Jun 12, 2008
521
36
Wakuu heshima kwenu,

Nimepita kwenye website ya taasisi hii muhimu nikakutana na hii taarifa.Ya kuwa the then FoE(Faculty of Engineering) na kwa sasa CoET(College of Engineering and Technology) ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam wamedhamiria kuandaa orodha ya wote waliopita na kuhitimu chuoni hapo(CoET).Ili kufanikisha hilo wametoa fomu hii(File attached).Please ipitie and let other Engineers(FoE aka CoET alumni) know.... i have just done my part.

By the way,interested readers may pass by here http://www.coet.udsm.ac.tz/ ili kujua yanayojiri CoET....
 
Attachments

  • Alumni_form.pdf
    82.2 KB · Views: 147
wanwatafuta hili nino
wangejua ma engineer wanavyoomba buku buku mbili huku
mtaani hata wasingetoa hiyo website
wanatakiwa wawasaidie jinsi ya kupata ajira sio kuwekeana kumbu kumbu
then what??
 
Yaani miaka yote hii graduates wa Engineering ni 5,000 tu?

What a shame, kuna vyuo vinatoa graduates hao mwaka mmoja tu, na hiki ndicho Chuo chetu kikubwa na cha zamani kabisa!
 
wanwatafuta hili nino
wangejua ma engineer wanavyoomba buku buku mbili huku
mtaani hata wasingetoa hiyo website
wanatakiwa wawasaidie jinsi ya kupata ajira sio kuwekeana kumbu kumbu
then what??
Engineer gani hao..utatakiwa uombe radhi kwa kauli hii! Lol
 
wanwatafuta hili nino
wangejua ma engineer wanavyoomba buku buku mbili huku
mtaani hata wasingetoa hiyo website
wanatakiwa wawasaidie jinsi ya kupata ajira sio kuwekeana kumbu kumbu
then what??

Kabla sijakuita mzushi...plz substantiate your claims.........
 
Mkuu Asante sana kwa hii information,

Yaaa, ni mpango mzuri, nitawaunga mkono kwa kuijaza hiyo form.
 
wanwatafuta hili nino
wangejua ma engineer wanavyoomba buku buku mbili huku
mtaani hata wasingetoa hiyo website
wanatakiwa wawasaidie jinsi ya kupata ajira sio kuwekeana kumbu kumbu
then what??

Looks like feud (sort of) without any legs.
 
wanwatafuta hili nino
wangejua ma engineer wanavyoomba buku buku mbili huku
mtaani hata wasingetoa hiyo website
wanatakiwa wawasaidie jinsi ya kupata ajira sio kuwekeana kumbu kumbu
then what??
Hivi vi ngwini bana aha!.
 
Hawana lolote, wanatafuta tu channel za kuomba hela. Lakini wenye moyo wasaidieni jamani..
 
wanwatafuta hili nino
wangejua ma engineer wanavyoomba buku buku mbili huku
mtaani hata wasingetoa hiyo website wanatakiwa wawasaidie jinsi ya kupata ajira sio kuwekeana kumbu kumbu
then what??

Pole sana mama mia. Hayo ni maoni yako ambayo hayana uthibitisho. Wahandisi wanapeta kinoma.
 
wanwatafuta hili nino
wangejua ma engineer wanavyoomba buku buku mbili huku
mtaani hata wasingetoa hiyo website
wanatakiwa wawasaidie jinsi ya kupata ajira sio kuwekeana kumbu kumbu
then what??
Wewe mama mbona mmbeya hivyo.Hao sio mainjinia kwa kweli.
 
wanwatafuta hili nino
wangejua ma engineer wanavyoomba buku buku mbili huku
mtaani hata wasingetoa hiyo website
wanatakiwa wawasaidie jinsi ya kupata ajira sio kuwekeana kumbu kumbu
then what??
We ni Sekretari wa nani?
Nakuonea haya sana!
 
Back
Top Bottom