zhang laoshi
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 401
- 469
habari wadau,
unakuta mtu ofisini alikuwa poa sn ukituma sms anajibu japo ana majukumu mengi, tatizo huanza pale anapopanda cheo na kuitwa Boss, sms hajibu na yupo online anasoma ila hana time ya kujibu sms yako, simu ndo usipige hapokei, labda huwa anajua unachotaka so hawapendi usumbufu, mbaya zaidi hata mtu akufahamu hataki hata kuongea wala kukupa muda akusikilize, hv ni kweli huwa mpo busy hivi?, mnafanya kazi gani hasa?, tuache kutengeneza class makazini mnawafundisha wengine waige hizi tabia pindi wakipata vyeo, haipo poa badilikeni..
Sent using Jamii Forums mobile app